Its true kwamba Alama ya rapa mzuri ni uwezo wa kughani mashairi ya kupendeza..,lakini Alama ya Rapa mkali ni uwasilishaji wake wa visa,matukio,adithi,katika njia ya kupendeza na kumvutia...
MAMA VANESSA
SEHEMU YA KWANZA
Muda ulikuwa umeenda sana macho ya Lucas Manyama yalianza kujifumba yenyewe ishara kuwa mwili wake ulikuwa umechoka na ulihitaji kupumzika. Saa yake ya ukutani...
KLABU ya Manchester United ipo katika mikakati ya kuutanua Uwanja wa Old Trafford katika upande wa majukwaa ili kuingiza watu 88,000 kutoka 75,000 wanaoweza kupata siti kwa sasa.
Hivi karibuni...
Today would have been Bob Marley's 69th birthday.
Marley was born in St. Ann Parish, Jamaica on Feb. 6, 1945. His Jamaican roots remained a cornerstone of Marley's personal identity and musical...
Kuna ile Christmas Carol ikipigwa RTD zama zile mwenye kuwa nayo jamani.
Iyooo Christmas iyo iyoyoyo iyo!one,two three four!
Happy Christmas iyoooyoo
Happy new year iyoooyoo
Nimejaribu kufuatilia nyimbo kadhaa za Hemedi phd (mpemba) anajua kuimba na nyimbo zake karibia zote ni nzuri.
Jaribu na wewe kusikiliza nyimbo yake mpya hii na ujaribu kutoa maoni yako pia
Nimesikia BASATA wanaandaa orodha ya nyimbo zingine ambazo zitafungiwa kuonyeshwa kwenye vyombo vya habari.
Naomba kuwaonya kua mkifungia huu wimbo nawaburuza mahakamani. Nimewasiliana na...
Kama kweli unakipaji basi usikate tamaa jitahidi tu utafika mbali,hebu angalia huyu kijana alikotokea mpaka leo hapo alipofika.
Nakumbuka hata wakina Jot na Mpoki walikotoka wakati ule...
Kutokana na hali ngumu sasa kuzidi hapa nchini Tanzania Watu wengine wenye Vipaji vingi kikiwemo cha Kuimba tumeona sasa tutumie ' Talanta ' zetu katika Kupambana na Ukazaji wa Vyuma kwa kuamua...
Wadau poleni kwa uchovu wa siku nzima me shida yangu kama kuna mtu anao wimbo wa dogo mmoja hivi simjui ameimba ivi"narudi nyumbani kuenyoj ,kuenyoj madikodiko naenyoma mamaaa,naenyoj...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.