Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wadau natafuta sana huu wimbo wa Viumbe wazito uliopigwa na East African Melody na kuimbwa na Mwanahawa Ali youtube upo kipande haujaisha tafadhali naomba link au upload hapa thanks in advance
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Story of Legends in Pics . To be continued
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwakweli sijutii kuwa shabiki wa drake.
19 Reactions
96 Replies
12K Views
2018 Swahili Movie Latest African Tanzanian Full English Movies MACHO MEKUNDU - Hii ni movie ya kiswahili inayoelezea maisha ya kijiji kimoja kilichotawaliwa na imani za kishirikina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu mimi ni mpenzi sana wa hizi comics books ambazo malanyingi huwa nazitoa mtandaoni, ila kuna hiyo story inaitwa strangers in the paradise naomba ambaye anaweza akanipatia link...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Huyu mwanadada kwa kipindi kirefu nimekuwa nikimfuatilia tokea enzi hizo akiwa mchanga kabisa kwenye uigizaji hadi sasa jina lake limekua na amekuwa miongoni mwa wasanii wakubwa.. Lakin kitu...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Bint Mlimbwende Wema Sepetu amezungumza hayo.Yeye na Chibu wamekuwa na wameona bora waweke tofauti zao kando, kwa sasa ni mtu na Boss wake, Wema atakuwa na kipindi Wasafi Tv. Ngoja tuone kama kazi...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Naomba kuuliza site ambayo ntaeza kudownload hd movies kama kuna anae fahamu tusaidiane jaman
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau.. sasa hivi imezoeleka kwenye mitandao ya jamii kwa baadhi ya watu kujifanya wachekeshaj. Wanajirecord short clips na kuzipost kwenye account zao especially instagram, kifupi hawa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa wajuzi wa movie ni movie gani zilizo elezea bomu la nuclear na atomic iwe series au single movie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jay Z, msanii wa Hip Hop Marekani yupo mbioni kumsajili R. Lukaku Katika timu yake ya mpira wa miguu anayoimiliki.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
RIWAYA; ELIZABETH NEVILLE MWANDISHI; HALFANI SUDY SIMU 0674 395733 Sehemu Ya Kwanza Ni asubuhi na mapema ndani ya mji wa Mafinga uliopo mkoani Iringa, Tanzania. Baridi likiwa kali sana. Watu...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wadau wa muziki pendwa wa dansi(rhumba na soukous) kutoka tanzania na kongo nina waarika tujadili juu ya Muundo, uongozi na umiliki wa band mbalimbali. Hapa nitatoa ufahamu wangu juu ya Muundo wa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo tarehe 25 mwezi wa pili tatu mzuka wamekuja na droo ya kitapeli kwa mshindi wa milioni 60. Namna walivyozishirikisha namba za kuchagua kati ya 1 hadi 6 kwa watu wawili pamoja huku wakijua wazi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Msaada anayeweza kunisaidia kupata wimbo wa makamua-rudi nyumbani pamoja Kali p-imekaa vibaya naomba. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Mungu mkubwa Wastara amerudi salama na safari hii ameweka wazi kila kitu kilichotokea wiki kadhaa nyuma baada ya yeye kuchangiwa pesa kwa ajili ya matibabu nchini India. Ugua pole dada...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF, naomba mwenye uelewa na hivi vifaa anifahamishe vizuri manake huwa naviona tu ila sijui kazi zake, asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wadau nina imani humu wapo watu wanao angalia series inayoonyeshwa azam tv inayotiwa secrets inaonyeshwa kuanzia saa nne kamili usiku ,huenda kuna wengine mtakua mmeshaiona kabla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama ni mfuatiliaji na muangaliaji wa Bollywood basi huwez kuacha kumuangalia bi mkubwa aitwae SRIDEVI... Amefariki 24 February 2018 akiwa na miaka 54 huko Dubai,United Arab Emirates Kabla ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama ilivyo kwenye Topic, Naomba kwa anayejua namna ya kupata hii Tv Series inahusiana na two Brothers namely Alex and Louis with their Mother, Ritha; having opened a restaurant in New Jersey...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom