Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari wanajamvi. Kuna wimbo huu nimeufanya Home Studio. Nipo mbele yenu kuomba ushauri wenu kama naweza kuimba au siwezi nirudi kijijini nikalime. Kama utatokea kupenda nilichofanya usisahau...
13 Reactions
176 Replies
20K Views
Gwiji la vichekesho duniani aki-perofrm London
1 Reactions
61 Replies
18K Views
My LIFE MY HISTORY SHORT FILM STORY. 1. 1992-1995 Kwa kipindi hiki nilipendwa sana na Mzazi wangu kila nilipokuwa nikilia alinibembeleza na kuninyamazisha na kunipa vitu vizurii na vya kuvutia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za asubuhi,wakuu wiki iliyopita jumanne huku porini nikiwa nachimbua visiki kwa ajili ya maandalizi ya kuchoma mkaa kwa bahati mbaya sururu iliteleza na kukita kwa juu kidogo ya vidole vya...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jaman waimbaji wote wa taarab wa kiume pamoja na wapenzi na mashabiki wao wa muziki huo, naombeni saaaaaana mnisamehe kwa hili. Zamani nilikuwa najua kwamba wanaume wote wanoimba aina hiyo ya ni...
1 Reactions
34 Replies
11K Views
Dondosha majina ya izo series me naanza 1:BLINDSPORT :ATHENA
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wanajf? Mm ni mfanyabiashara ninajihusisha pia na biashara za burudani na mambo yanayohusiana, Ninahitaji mpiga picha wa kisasa na mwenye taaluma ya graphics design kdg ili afanye Kazi...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Roger Moore amefariki baada ya kuugua saratani Katika taarifa ya familia yake marehemu iliochapishwa katika mtandao wake wa Twitter, walisema ''ni vigumu kutangaza kifo cha baba yetu Roger Moore...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanajf habari za wakati huu, Filamu za kitanzania 'bongo movie' zimepoteza mvuto kwa asilimia kubwa sana Kabla ya kutatua tatizo ni vema kujua chanzo cha tatizo. Ni muhimu kujua tuliteleza Wapi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeucopy huu wimbo sababu nilipoteza ndugu watano siku moja na ikawa chanzo cha wazazi wangu kuugua mpaka vifo vyao. Inahitaji misuri ya imani. Nimekumbuka sana leo siku kama hii.
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa kipindi kirefu nimekua nikifuatilia sanaa ya uchekeshaji, nimeamua kuwaletea Wachekeshaji bora wanaofaa kuigwa. 1 King Majuto 2 Senga 3 Joti 4 Ringo
0 Reactions
8 Replies
6K Views
hawa ni Wachekeshaji wa jukwaani, Nani unamkubali zaidi Kwa upande wangu Dogo Pepe alimpiku Mc Pilipili siku ya mkesha wa mwaka mpya "new year's eve comedy gala"
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kutwa Kwanza Kabisa Mimi binafsi ni mpenzi mkubwa wa hizi mambo. Leo napenda nikushirikishe Season tamu ya kikorea iitwayo INNOCENT DEFENDANT, mazingira yake ni mjini...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Leo nimependa kuwaletea uzi huu unaohusu Media zenye ushindani kwa sasa hapa nchini. Binafsi natabiri anguko la mmoja wao kati ya clouds na tve. Kama ilivotokea kwa clouds...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza Hyu mc wa kijenge juu anaitwa JCB ambaye ashawahi toa single Kali kama ukisikia paa,ishakua mbaya, yuko wapi mbona hasikiki kabisa kama swahiba wake Chindo...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Kichwa cha habari cha husika ... Karibuni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kulingana na historia ya mechi ya chelsea na barcelona inakua ngumu kutabiri moja kwa moja nani anapita kati ya hizo timu mbili... Barcelona amekua na msimu mzuri sana na hii inatokana na Magician...
1 Reactions
5 Replies
974 Views
Naangalia live show ya huyu dogo hapa, kwakweli yuko poa. Keep it up aslay watanzania tupo nyuma yako
1 Reactions
6 Replies
1K Views
unahisi ingekuwaje kama Ingetokea Kwetu hapa tena Kipindi hiki
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom