Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habarini wadau. Leo ile movie ya action ijulikanayo kama kingsman 2: the golden circle inazinduliwa huko Marekani na sehemu kadhaa duniani. Katika part 2 ya hii movie inajikita kuelezea kisa mara...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Papi nguza maarufu kama papii kocha ameyaeleza hayo katika wimbo wake huu hapa Kumbuka usipite bila Ku Like Uzi huuu
2 Reactions
4 Replies
5K Views
1. Bi Kidude ( Malkia wa Muziki wa Afrika Mashariki na Kati ) : Huyu ndio mtunzi na muimbaji wa kwanza wa wimbo Yalaiti . Msikilize hapa chini : 2. BI. Malika kutoka...
3 Reactions
7 Replies
13K Views
Wadau, Kwa yeyote mwenye Gaither gospel series hasa videos na ziwe katika softcopy anisaidie ama aniuzie. Kama zipo kuanzia 50 na kuendelea itakuwa vzr zaidi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Franco, Michèl Boyibanda, Josky Kiambukuta, possibly Lola Chécain sing. This song was forbidden by the regime (of Mobutu). piquedard translated (here Below: You, old man, Lewis! In life, an...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
wakuu pole na majukumu kuna wimbo mmoja ni zilipendwa unaitwa "Nairobi" utakuwa uliimbwa na Les wanyika mwenye nao nauomba please
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bongo fleva inazidi kushika kasi kwa kuwa ushindani unazidi kuongezeka. Naweza kuwashindanisha kama ifuatayo. 1.Diamond Platnumz vs Ali Kiba Diamond ni mwanamzuki mwenye mafanikio makubwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amekusanya pesa nyingi sana za watu wenye huruma...anadai anaelekea India kwa matibabu ile picha ya cannula mkononi inashangaza sana Bado napata hofu kama kuna daktari wa kihindi atakuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepata kusikia story hii kwa muda mrefu, mwisho leo nimeona mahali pameandikwa kwamba nyoka amgonga mtoto mdogo baada ya wazazi kutaka kumuua nyoka huyo, inasemekana nyoka huyo alikuwa akicheza...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimethibitisha kupitia watoto wa shuleni ukipiga nyimbo zake wanazijua. Pia 90% tuliomo humu tumezaliwa wakati ye kashafariki na tunajua nyimbo zake ..... NB:Good music ..tunasikiliza sana usiku...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Binafsi ni mpenzi sana wa muziki wa dansi. Iwe ni dansi ya Tanzania au nje ya Tanzania. Muziki wa dansi asili yake ni Kongo. Hii inahusisha rhumba(dansi ya taratibu) na pia soukous(au sebene...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Hivii kwa nini Msanii akikosana na CLOUDS MEDIA mara nyingii anaishia kupotea kwenye Game ya muziki hata kama akitoa Nyimbo kalii vip hazisikikii kabisaa na hata watuu hawamfatilii sanaa???? Mfano...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wimbo wa huyu msanii kuanzia mdundo, sauti hadi mashairi na maudhui yake yamejaa ubunifu wa hali ya juu sana. Kwa kweli amejitahidi sana huyu Dogo kwa utunzi murua. Mi nikisiliza mahali popote...
4 Reactions
28 Replies
12K Views
Kwanza kabisa naomba jamii forum msiuonganishe huu uzi. Kwa ridhaa yenu. Hata kama uko popote this is a special thread for me. Muogope sana mtu ambaye ameshikilia ugali wako. Hata kama utakuwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabibi na Mabwana Aslay baada ya subalkheri leo Hii Aslay ametuletea hii Nyingine Ambayo akiwa amemshirikisha King Kaka Wimbo Unaitwa Makusudi Bonyeza link hapa ili kusikiliza ama ku download...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
NYIMBO SITA KUBWA ALIZOANDIKIWA DAVIDO KWA SIRI Sio jambo jipya kusiki msanii mkubwa kuwa na Ghost Writes 'Waandishi wa Muziki wa Siri' kwenye kazi zake. Msanii kama Beyonce alinunua...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Je kisa ni WASAFI kufungua Redio na TV Yao? Au kuna la zaidi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari wana Jf. nilikuwa naombi, mtu mwenye nyimbo za huyu mtaalam wengi hupenda kumuita profesa Mohammed Ilyas. naomba mwenye nyimbo zake zote hata chache naomba aweke humu, coz nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuuu vip, Nani mwenye ngoma za hawa jamaa Chuchu sound ya kipind kile cha kina MAO SANTIAGO! =============== ===============
1 Reactions
37 Replies
24K Views
Back
Top Bottom