Sio siri miongoni mwa wasanii waliokua na best voice na melody zisizochosha marolw na kijana mmoja toka dodom voice wonder na wimbo wake ni mpende nan
Mpaka leo zikipigwa nyimbo za hawajamaa...
Drake performs at the 2016 iHeartRadio Music Festival - Day 1 held at T-Mobile Arena on Sept. 23, 2016 in Las Vegas.
Drake dominates the Billboard Hot 100 chart (dated Feb. 3), as "God's Plan"...
Shaun Murphy, a young surgeon with autism and savant syndrome, relocates from a quiet country life to join a prestigious hospital surgical unit. Alone in the world and unable to personally connect...
Huu wimbo uliimbwa kitambo tu, na nimewaza labda Hawa kina Aslay waliofanya remix wangeuboresha zaidi lakini ndio wameuharibu kabisa. Mara zote unapoamua kufanya Remix basi fanya kilicho bora...
Kwa wale wanzangu wenye Azam tv, nilikuwa nafatilia mazishi ya MOWZEY RADIO nimeshangazwa, na kukosa kwa mwakalishi kutoka Tanzania atleast nimemuona JAGUAR kutoka KENYA, na mmoja kutoka...
Habari za kushida wakuu wangu, natumain mko salama.
Me nahitaji msaada, kuna movie ya zamani alicheza janet jackson na 2pac inaitwa POETIC JUSTUCE mm nikidownload inagoma na kunionyesha hiv...
The Good ,the Bad and the Ugly. Hii ni moja ya movie za western/cowboys ambazo ni maarufu sana ikiigizwa na clint eastwood.
Kuna wanaowakumbuka bud spencer na terrence hill? Hawa wanazo nyingi...
Wadau naomba kufahamishwa website ambazo naweza kupata game nzuri za action zenye memory ndogo,ziwe ni game zenye risasi nyingi na main character awe anaweza kutembea,kushoot na kufanya mambo...
Habarini wanajamiiforums,huwa nasikia jingle mbalimbali za clouds FM hhuwa ninajiuliza hivi yule anayeingiza sauti kwenye jingles zao ni nani ningependa kumjua anasauti nzito hivi
Tanzania inajaribu kutumia technologia ya drones kuanzisha mtandao mkubwa kabisa kuliko yoyote duniani wa kusambaza damu na madawa kwa haraka na usamala kwenye maeneo ya mbali.
"Randal, Randal, Randal. You were going to leave without saying goodbye, huh"
Unaikumbuka hii movie na kipande hiki chenye haya maneno? aisee ziku zinaenda sana.
Habari ndugu zangu..
Kiukweli toka nipo hapa jijini mbeya nimegundua kuna chimbuko kubwa la vipaji katika muziki huu wa Gospel,hasa tukiona mifano kama BAHATI BUKUKU,MARTHA MWAIPAJA,AMBWENE...
Umofia Kwenu wana JF/Wana Entertainment na Entertainers,
Kuna wimbo nausikia sana ukipigwa redioni ila sijabahatika kupata jina lake,ni common sana nadhani atakuwa ameimba Patoranking(Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.