Kwa wadada ambao mshaiona hii series aisee inachekesha sana,kuna vioja ,,mi sijamailiza yote lakin inanichekesha sana,,kuna wadada wanne humu wama vituko,wanatembea na mwanaume kisha wanasimuliana...
Good afternoon ladies and gentlemen.
Ukijaribu kuangalia video clip ya YouTube hapo juu ukianzia dakika ya 38:45 mpaka 39:45 (nilijaribu ku cut nimeshindwa) utaona jinsi gani msanii Juma Mohammed...
Nilijikuta sina la kufanya katika wakati ule mgumu nikiwa mpweke
Kitandani macho yangu yakiangalia mwanga wa jua ulio penya katika tundu la paa lililochoka na kurusu mwanga kupita kila sehemu ya...
Dah, mimi hii ngoma 'Can't Stop the Reign' ya Biggie na Shaq kila nikiisikiliza najiambia niendelee tu kupambana hadi kieleweke.
I wish tu Biggie mwisho angesema God badala ya devil, lakini...
Chanel pendwa kwa sasa tanzania azam 2 inazua mabalaa nyumban kwa tamthilia zake za kihindi zilizotafsiriwa kiswahili..tamthilia hizi ambazo zinakwenda kwa majina ya NAAGIN aka la manyoka nyoka...
Je Kuna Citizen TV ya Kenya kule Tanzania? (Mi ni Mkenya.) Ikiwa kunayo, kuna kipindi ambacho kilijulikana kama "Moyo" kilichokuwa kikija Jumatano (Saa Moja unusu usiku,) na marudio yake saa kumi...
You want me silent?
Kill me first,
You want me quite?
Kill me first.
You want me shut my mouth?
Kill me first.
You want me bite my tongue?
Kill me first.
Kidnapp me,Torture me,
Cripple me, Harass...
NENO LA MATUMAINI.
SIKU moja kundi kubwa la vyura likiwa linahama sehemu moja kwenda nyingi, kwa bahati mbaya vyura wawili wakatumbukia kwenye shimo. Kutokana na urefu wa shimo hilo, vyura...
Nyimbo zake kila ukisikiliza zinaingia hadi kwenye sakafu ya ubongo.
Lakini siku hizi sijui nini kimempata, naomba wadau mrudisheni kwenye mziki
20% Mungu akukumbuke, akuinue tena
Huyu bwana ni mzuri sana kwenye vichekesho na anauwezo wa kumchekesha mtu, nadhani akiungana na Kashi kashi group aka Mizengwe wa ITV tutakula burudani ya aina yake. Ni hayo tu.
Katika hali isiyotarajiwa, imeelezwa kuwa msanii nyota wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, amemlipua mke wa ‘Nabii’ Tito baada ya mwanamke huyo kumshawishi kupitia mitandaoni aolewe na nabii huyo...
FBI Agent Hanna Willes ananifanya hata nilie,yani niendelee kuifuatilia Hii series ya DESIGNATED SURVIVOR.Huyu ndio starring wangu kwenye hii series.
Kumbe movie zinaweza kumchota mtu akili kiasi...
Bado conte anafail kumfunga wenger kamafunga Mara moja pekee yeye ameshapigwa mechi kibao fa cup final,community shield, carabao cup na EPL
Fans wa Chelsea musitegemee kufumnga arsenal chini ya...
MALAIKA? Au SHETANI? (01)
Kama kawaida, mwanga unapoanza kumezwa na giza la magharibi, shughuli za utafutaji riziki kwa wengi hukoma hadi siku inayofuata. Jioni hiyo, nawe ulifunga biashara yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.