Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ni Aslay na Nandy: Wasanii hawa wakikutana kwenye ubunifu wa wimbo wanafanya vizuri sana binafsi nawapa pongez. 1 kwa 1 kwenye mada, ikitokea nimekutana na wasanii hawa nitawashaur waunde group...
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Katika kitu nimebaini ni juu ya Radio ya Clouds FM wanatatizo la usikifu kuwa chini ya kiwango mawimbi hayaendi vizuri kama nikuongeza repeaters fanyeni hima ndo hilo.
1 Reactions
0 Replies
831 Views
Mimi huyu "Tunda man" hata akifanya show sebuleni wakati nipo chumbani wala sitotoka kabisa. Kama ndio nipo nje basi siku hiyo sitolala ndani ,nitawaachia wamalizie show yao.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Wapendwa ndg zanguni wana JF, Kwanza habarini za wakti huu...., kwa upande wangu Mungu ni mwema amenijalia uzima. Twende moja kwa moja kwenye mada, Naomba kwanza ifahamike kuwa mimi binafsi ni...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Mwanamziki mkongwe nchini Afrika ya kusini Hugh Masekela amefariki nyumbani kwake Mpumalanga baada ya kupigania uhai wake kwa muda. Amekufa kwa ugonjwa wa saratani ya Tezi dume. Mwana mziki huyu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hugh Masekela,mwanamuziki maarufu wa mtindo wa jazz kutoka Afrika Kusini aliyechangia juhudi za kukabiliana na utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo, amefariki dunia akiwa na miaka 78. Familia...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
AFRIKA KUSINI: Gwiji wa muziki wa Jazz na Nguli wa kupiga Tarumbeta, Hugh Masekela afariki dunia akiwa na umri wa miaka 78. Alikuwa akiugua Kansa ya Kibofu Atakumbukwa kwa kuwa mstari wa mbele...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mi nafanya hip hop Nina flow tofauti hakuna msanii nnaefanana nae flow nko tofauti kama kuna mtu anaeitaji kusaport uwezo wangu naomba tuwasiliane ili aisikie kazi yangu nipo sirias wadau unaweza...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
1.Mtazamo- Afande ft Jay na Solo 2.Mzee wa Busara - Nature na Inspekta 3.Sikiliza - Jide, Fa na Ngwea 4.Jana na leo - Msodoki ft Stamina 5.Dhahabu - Dully ft Blue na Joseline Wewe kama mdau...
1 Reactions
46 Replies
15K Views
Ukweli usiopinginga wala kutia shaka kabisa, kuwa kwa sasa bongo tamthiliya za kikorea ndo pendwa. Ubora wa picha zao, uigizaji uliotukuka, stori nzuri yenye mpangilio makini. Wakorea wanatisha...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Jamani naombeni msaada please anaeweza kunisaidia hii movie sikumbuki ni ya mwaka gani but amecheza marehemu steven kanumba,emmanuel myamba pamoja na nancy okoye wa nigeria na wengine wengi,aise...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana Jamvi, kuna Radio Iko manyara inaitwa Manyara FM, nimeisikia Juzi nikiwa Babati ila sikujua mawasiliano yao. Je kuna Mtu ana mawasiliano yao? Naomba hapa au private. It is for business...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nmeshangaa sana,halaf mbele,na ina icons weng,carry washington na wengne,aisee sjui hata kama yeye saida analifaham hili
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapendwa, husikeni na kichwa cha habari. Baada ya kuona uandishi wa riwaya hauna tija, wazo limenijia kuwa mtunzi wa filamu. Sijajua script inaandikwaje. Nauhitaji huu utaalam niweze kuleta...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
KOMBORA KIOTANI-35 BONIFACE BIRAGE. “Unasemaje?”aliuliza Kilua akiiwa anamshangaa Serambovu kwa kauli zake za matisho.Ilikuwa fedheha sana kwa upande wake na hakutegemea kama watu hawa watafikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni hawa: 1.Dan Alves 2.Semedo 3.Walker. 4.Kimich.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
BONYEZA LINK KUSIKILIZA -
1 Reactions
2 Replies
8K Views
SIKILIZA SEHEMU YA PILI YA USHUHUDA WA MALKIA WA KUZIMU | SIMULIZI YA KWELI | PROMOVER.COM
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Ziko nyimbo ambazo Radio na TV zetu wanazipiga hewani asubuhi, mchana na hata jioni bila kujali nani anasikiliza akiwa nani wapi. Jana nilikwenda kumfuata binti yangu shuleni kumrudisha nyumbani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kila baada ya chakula Hudson alikua akificha chakula na kuweka kwenye mfuko kisha kuondoka nacho, alikua akikaa huko kwa muda na kurejea, Mama yake alichunguza sana mpaka kujua alikua anapaleka...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom