Nimetembelea Arusha, Mbeya, Manyara, Dodoma, hivi karibuni nikashangaa tofauti na inavyopigwa kwenye TV na radio stations, wimbo wa "Zilipendwa" umebamba!
Nakumbuka ulivyopigwa vita na kituo...
Kwema wadau jf,
Kama nlvyo andka hapo juu naitaji msaada kwa hilo,
Kuna filam ameicheza visent kigosi siijui inaitweje naitafuta kwa kubahatsha rakin siipati, ila ndan ya filam hio kunajamaa...
Nikifungua link ya kudownload series za kikorea ya dramafire inanigomea kabisaaa
Kuna app nyingi sana lakin naomba mnisaidie App nzuri kama ipo ambayo itakuwa inanijulisha kuna series mpya au...
Sasa wadau kila nikisema wanawake wengine wavaaga kishetani/kimalaya mnakataaga.kuna wanawake ninao kwenye list yangu ni wanavaaga kihuni sana.mimi niwaonye tu hadharani waache utovu wa maadili na...
Habari mwana jamvi,
Katika ulimwengu wa entertainment Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na utolewaji wa tuzo za Golden Globe Awards mwaka huu wa 2018.
Kwa kweli naomba niongelee jambo kubwa ambalo...
Last month, there are many new faces appeared in our Monthly Top 10 covers chart such as Nana+, Surasree Chakraborty, Felicityy as well as manna_melody. They are all good singers and their...
Habari zenu wakuu ..??ok leo nilikuwa nataka tuzungumzie hii true story ya hii series movie hiitwayo VIKINGS najua mnajua kama hii ilikuwa ni true story. Ambayo ilitokea kwnye huu ulimwengu wetu...
Habarini wanajamii forums kwa wale ambao wako nje ya Tanzania au nje ya dar es salaam wangependa kusikiliza radio online dunia nzima solution ni bongo radios
Bongo Radios – Applications Android...
Jamaa anakipaji sana. Sifa ya wanamuziki wakongwe wa mbele huwa hawaachi loyal fans wao kwa kuanza kushindana na madogo katika industry ya muziki, wanakomaa na vionjo vya asili na kufanya muziki...
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni...
Wana JF mie nipo mbari saaaaaaaaaana na vituo vya burudani sehemu nilipo labda mzizimkavu ndio anaweza fika maana yeye hutafuta mizizi ya tiba mbadala. Naomba mwenye link iwe youtube, daliymotion...
jamani kuna nyimbo za wasanii kutoka congo nazipenda sana,,fally ipupa-associe na fere gola-100 kilo sasa nahitaji nipate nyimbo nyingine zenye midundo kama ya hizo hapo (midundo ya kutulia) kwa...
Hellow member...
Najua mpo wataalamu na wapenzi wa hizi beats za zamani kidogo, je naweza kupata wapi albamu zao za audio niweze kuwa download hata kama ni kwa kulipia kama wanavyofanya...
Wadau nashida na movie sana nimejaribu kuwatafuta hawa jamaa wanaoingiza nyimbo bila mafanikio yani hawapo nowadays nasikia wanasakwa kama watu wa dawa za kulevya wamepotea kabisa kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.