Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuu hope mna enjoy weekend vema Kimsingi vijana hawa wanakuja vizuri sana kazi yao nimeipenda Tupia maoni yako kuwashauri
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nichukue fursa hii kumpongeza waziri ummy kwa uzalendo ulotukuka.huyu mama nimempenda bure,viongozi wote wangekua hivi naamin timu nyingi zingefanya vizuri.nichukue nafasi hii nimtake waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
603 Views
RIWAYA YA KIPELELEZI: ANGAMIZO MWANDISHI: HALFANI SUDY SIMU 0674 395733 WHATSAPP 0757 633010 SEHEMU YA KUMI NA TANO Hakuwa mvutaji hata wa sigara. Lakini hakuruhusu hata kukohoa. Alijua kukohoa...
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Kwangu mimi naanza na bob Marley huwa namuelewa sana Song called "Is This Love" I wanna love you and treat you right I wanna love you every day and every night We'll be together with a roof...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Tangu mwaka uanze sijapata nafasi yakuweza kutulia na kufanya mambo nayopenda pale napopata mda au nafasi hasa siku kama hii. Leo hiyo nafasi nimepata na sasa nipo na chagua nyimbo za kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Ni msaga sumu huyo kapoteza mashabiki weng na mimi nikiwemo baada ya kutoa wimbo wa mwanaume mashine, ikiwa weng hatuna mashine.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenye nyimbo aliyoshirikishwa juma nature jina nimelisahau ila nakumbuka chorus 'Tutoe adhabu gani juu ya hawa wanaoturoga*2, Kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetani, Mwanga anaetutupia majini ni...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu habari...!!kama kawaida wale wapenzi wa series movies hi series ya Vikings tuliokuwa tunaifatilia kuanzia season 1 mpaka sasa kufika season 5 imefikia pazuri sana now ipo epsode ya 8 aisee...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi great thinkers! Someone whispered me that Calvin got luck to talk to Donald Trump. Calvin: Excuse me where is the lobby? Trump: Down the hall to the left. Calvin: Thanks. I"m not good in...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
KOMBORA KIOTANI-34 Kiota cha mapenzi kati ya Dedani na mkewe kilichukuliwa kwa muda kidogo na utamu pamoja na hisia kochokocho zenye fukuto la mahaba kwa muda kidogo hakuna aliyeona sababu...
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Wadau nipate wapi wimbo wa Komba mgeni na mambo kwa sox wa Remmy Ongara...nmejaribu mtandaoni holaaa Naomba kuwasilisha
2 Reactions
17 Replies
3K Views
1. Steve James Huyu jamaa aliwakilisha vyema kwenye muvi nyingi za mapigano na vita. Mojawapo ni muvi ya American Ninja akiigiza na mastaa wengine kama David Bradley pamoja na Michael Dudikorf...
1 Reactions
48 Replies
16K Views
Naumia app ya sportpesa... Nimeshashinda mara kibao sijuti. Cha kuzingatia Weka game chache za uhakika.
0 Reactions
4 Replies
796 Views
NAHITAJI WIMBO WA SAIDA KAROLI _PESA INAWASHA PAMOJA NA WIMBO WA MBILIA BEL YAMBA NGAI ..
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Jaman vp nawez pata au kudownload movie ya jumanji ya therock iliyotoka mwaka 2017
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Siku hizi nashindwa kulala kisa season yaani nakesha usiku kucha naangalia series tuuuuu. sio kama zamani wakati soko la bongo movie lilivyo tamba. hivi tatizo ni nini au na wewe upo hivyo?
0 Reactions
4 Replies
945 Views
Je unadhani ktk Tanzania ya sasa bado kuna wasanii walio kioo cha jamii?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kutoka mwaka 2010 hadi 2012 kulitokea harakati iliyoasisiwa na Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu. Harakati hii ilisadikiwa ilitokana na uhasama binafsi wa sugu vs clouds, dhana ya pili ni kuwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom