Habari za muda jf.
Kama kisemavo kichwa cha thread hii,Nimejikuta naanza kupenda sana kusoma novels hasa hichi kipindi cha sikukuu,Nilianza na moja inaitwa "A KIND OF LOVING" pia nikasoma "MY NOT...
It's a tribute to David Bowie’s mystique that the most striking footage of David Bowie: The Last Five Years is of him on stage in a hooded sweatshirt and jeans. Taken from a 2004 stop in Germany...
Jaman wana jf anaejua ile movie ya nigeria inayorushwa itv kila jpili usiku kuanzia saa tatu na nusu usiku inaitwaje naombeni anambie. Aniambie na website ya kuipata. Movie yenyewe ipo ivi jamaa...
wadau weekend imekaaje,
Kama kuna yeyote mwenye full movie tajwa hapo anipatie link kwan hawa jamaa wenye kutafasri, kanidanganya anayo na pesa niamtumia
Alizima sim na hapatikan ten
Wakuu habari zenu.
Nimekuwa nikifatilia sana huu mziki wetu ,kila video lazima aonekane mwanamke hata kama hiyo nyimbo hakuna ulazima wa mwanamke kuonekana.
kuna hii nyimbo ya joh makini inaitwa...
Aisee !! miaka hiyo kulikuwa na raha sana.Pale Katoma Beria miaka hiyo wakati wa siku kuu!! Ni hatarii.
Nakumbuka Marehemu Tusi
alikuwa akimkodi sana huyu PHOCAS
Sanchez akitua man city ni faida kwanza fainali ya efl tukikutana na arsenal tutakua tumeipunguzia nguvu na tukikutana na chelsea nguvu itakua kubwa sana CONTE Ajiandae
Kurudisha nyuma kila wakati hio tamthilia ya The Promise 2 ni ushamba na kutojali watazamaji wenu.
Natamani litivii lenu lifungiwe kama wakati ule. Shwaiin...
#FAHAMU Muigizaji wa filamu ya Beast of no Nation, Abraham Attah (Agu) ambaye ni raia wa Ghana, hakuwahi kuigiza filamu yoyote kabla ya hiyo, alikutwa mtaani akicheza mpira na muongozaji wa filamu...
waungwana kwa ambaye amwusikiliza huu wimbo aje kidogo tuujadili binafsi nimevutiwa na jmaa anavyouimba ni anajua zaid kuombs sizan kama kuna msanii wa bongo kwa upande wa RnB anamkuta uyu jamaa...
Hatimaye kile kitendawili kimeteguliwa. Kijana amesalajiliwa kutoka Liverpool kwenda barcelona kwa kitita cha £ 145 million. Poleni sana liverpool na hongera sana Barcelona.
This is how fans gonna hate, life is changing and music engineering also is still on changing day by day.
Davido to Diamond might be right, but not Diamond to Kiba.
NAKUCHUKIA SHADYA
Juma Hiza
0712988278
Najua utajiuliza ni kwanini namchukia Shadya. Naam! Nafahamu hili ndilo litakuwa swali la kwanza litakalokujia katika ufahamu wako. Hata hivyo sishangai...
Yese
Kila chenye marefu na mapana huwaga hakikosi mwisho (oooh mwisho)
Mmmh, ya nini kulumbana kukicha bila suluhisho ( ooh oooh)
Huenda kisichoridhiki hakiliki, ;sa ya nini tutoane roho...
Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Usipokubali kukosorewa hautajifunza mambo mapya zaidi ya yale uyajuayo.
Daima utabaki kwenye mawazo yale yale kila siku.
Hauwezi kuwa kiongozi ukajua kila kitu...
Nimerudi home nimuangalie brother K ktk futuhi maana angalau nikimuangali huwa nasahau km kuna vyuma vilivyoshindikana kulainishika nashangaa naona sura zisizoeleweka halafu kipaji ziro yani...
Anyone anaeza nisaidia jinsi ya kupata Spotify app on my phone na niweze kuitumia cause kila nikiidownload naambiwa service ya Spotify haipatikan tanzania kama kuna mwenye crack on how to crack it...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.