Msanii wa Bongo Fleva Kutoka Tip Top Connection, Tundaman ameachia audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘TOTO’. Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Zest.
Hii ni moja ya Nyimbo zangu wana Jf kama kuna ambae atapenda tufanye kazi yaani anisimamie katika kazi zangu kwa sababu sasa hivi niko mimi kama mimi kuna baadhi ya vitu nakwama kuvifanikisha...
Edit: kuna michapio miwili ndani ya post na itabadilishwa...thanks
Huu ni mtazamo tofauti na ule ufanananishao kifo cha msanii mkongwe wa bongo movies, Steven Kanumba, na kifo cha Tasnia ya...
RIWAYA; BRIEFCASE
MTUNZI; HALFANI SUDY
WhatsApp 0674 395733
Sehemu Ya Kwanza
ILIKUWA ni usiku wa saa sita. Anga la jiji la Dar es salaam lilikuwa limetulia baada ya kunyesha mvua kwa saa mbili...
Napenda movies Na miongoni mwa movies nazozisubiri mwakani ni Hii hapa Accident Man.
Jamaa hajawahi niangusha katika movie zake,najua Na Hii itakua Tamu tu
Inatoka 9 Feb 2018.
Tuombe uzima...
Huu uzi ni maalumu kwa Upcoming Artist ,
Wale wasanii ambao wametoa kazi zao na hazijapata Airtime au hawana majina kwenye industrie ya muziki na jamii kwa ujumla.
Weka kazi yako hapa ili Fans...
Napenda mziki sana(good music) naeza sema music is my life! Naskiliza kila siku anyone yuko na feelings za mzik kama mm if ur interested nataka kufungua group la whatsapp for only music...
When Negro Teeth Speak
Everyone thinks me a cannibal
But you know how people talk
Everyone sees my red gums but who
Has white ones
Up with tomatoes
Everyone says fewer tourists will come
Now...
Hellow wadau
Naomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu wapi nitapakua (download) au kuipata Tamthiliya ya kihindi ya Lies of The Heart (Doli Armanoon Ki) Version ya English au Kiswahili zikiwa...
Mimi CHIDI BENZ hana mpinzani. Wewe mkali wako ni yupi.?
kama wewe ni mpenzi wa hiphop, cheki hii video ambayo chidi benz alikuwa hosted katika kipindi cha dakika 10 za maangamizi mwaka huu 2017...
Bwana Yesu asifiwe sana wapendwa, Heri ya mwaka mpyaaaaa.
Kabla ya yote napenda nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima.
Mada tajwa yahusika, naombeni sana ndugu zangu mwenye huo wimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.