Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Diamond - Naivasha Rayvanny- Mombasa Rich mavoko - Nairobi Chameleon - Nairobi Conclusion Kenya kuna pesa mingi ya entertainment.. Kenyans spend sana kujibamba LDC sasa nani atawaburudisha hapo...
2 Reactions
27 Replies
7K Views
azam tv imemeleta basket mouth jijini ambapo ataburudisha leo usiku ndani ya ukumbi wa mlimani city conference center-mlimani city mall,dar es salaam. mimi nitakuwepo,kama na wewe utakuwepo basi...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Ndugu wana JF,naomba kufahamu kuhusu malipo ya star times,kwani nasikia waweza lipia kwanzia 500 na kuendelea vipi hili lina ukweli ndani yake?,kwani kwa sasa si kukuza kwa vyuna tu hata pesa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni kwa dodoma namtafuta mkali wa Rnb na harmon nifanye nae kazi kwa Ngoma yangu Mpya nitakayotaka kuifanya mwezi huu wa kwanza. Pia na msichana Mwenye sauti kalii nae anaitajika . ...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Tuikaribishe 2018 kwa Rap-Hip Hop Battle kati ya Old Schools kama mimi na New School wafuasi wa akina Kendrick Lamar. For the sake of this battle, Old School ni ngoma zilizokuwa released 1990's...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
MUZIKI NI HARAKATI SEHEMU YA KWANZA: MIRIAM MAKEBA Muziki ni sanaa; ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyomo katika fikra za binadamu kwa njia ya sauti na vyombo vya muziki ili kufikisha ujumbe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba kuuliza kwa wale wajuvi wa mambo ya miziki ya Pop, Hivi huo wimbo Michael Jackson aliuimbia wapi? Au alishirikiana na nani? Maana kuna maneno ya kiswahili yale "...Nakupenda pia...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Napenda sana utulivu hasa kipindi hiki cha mapumziko hapa nasikiliza kipindi cha easy sunday clouds radio huku naendelea na JF. Muwe na maandalizi mema ya kuelekea siku inayofuata ya 2018.
0 Reactions
0 Replies
383 Views
*TIARAEI:* Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje. *Kakobe:* Kwa Yesu. *TIARAEI:* Umesema una hela nyingi sana. *Kakobe:* Ndiyo *TIARAEI:* Umezihifadhi benki gani? *Kakobe:* Kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ipi ngoma kali ya Alikiba, kati ya Seduce me na Maumivu per day?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
KOMBORA KIOTANI-33 BONIFACE BIRAGE Balozi alikwisha kaata roho!Hangaiko la kutetea uhai wake lilikwisha nguvu na sasa aliona na kuhisi wepesi ulioambatana na usingizi mzito sana vikimjia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
me mgeni hapa dsm nataka kwenda beach leo kuogelea sehemu gani ni nzuri bei za kawaida tu kiingiliooo.
0 Reactions
13 Replies
12K Views
List ya simba Leo IPO vp
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Naanza fasta bila kukuchosha Toka ananza kuimba kuna muda nikahis anaimba utani utani tu manake nyimbo kadhaa ni kama za watoto za kuchekeshana mfano hiyo zezeta Awaaaaaaaaaaaaap kwangu sijaona...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Mimi ni mpenzi wa comic movies specially zinazotengenezwa na hawa jamaa wa Marvel studios so nitajaribu waletea all release dates za comic heroes movies toka kwa hawa jamaa. Kwa kuanza naanza na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
hi guys hapa JF? Jamani kwa wale producers please naomba critical analysis ya sample ya beat naomba msaaada nini niongezee nini nipunguze my regards
2 Reactions
14 Replies
38K Views
Habar wana jukwaa leo ninahitaj kwa yule mwenye ufaham juu ya masuala ya kucheat kwenye line ili uweze kutumia internet bila kulipia popote atuwekee hiyo taaluma.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habarii wakuu i real appreciate the analysis coming from you guys especially very experienced producers hizi samples niupande wa verses bado sijaongeza intro,outro ,chorus and hook or bridge...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Wana jamvi habari za sikukuu, nimekosa mdaa WA kwenda movie kuangalia movie ya jumanji.. Naomba aliekua nayo anitumie link ya kudowload... Or watch online... Asanteni week end njema
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom