[emoji121]
"Weka weka weka wekaaaa bahariaaaaaaa!!!
Wekaaaaa nasema weka weka wekaaaa bahariaaaaaaa!!!!
"Oiiiiii Baaabaaaaah!!!"
Eti huu nao ni muziki unaolitambulisha taifa kweli JAMANI...
Habari zenu watanzania wenzangu naomba kuuliza kwa wale wanaopenda movie za kikorea nataka kudownload kupitia simu series za kikorea.anayejua website gani zinapatikana kupitia simu ashushe comment...
Siku ya leo ilianza vizuri, I thank God. Since am all alone, no women no nothing, went kula samaki samaki then went somewhere kudowea tena, nimerudi mapema saa mbili, no alcohol, no women...
Hbr wapendwa
Ninawakumbusha wasanii kuachana na mawazo ya kufanikiwa kupitia siasa.
Watambue kuwa kazi yao ni ya thamani na ndiyo itakayowapa mafanikio.
Huku Wilayani Sikonge kunafanyika Ligi ya Daraja la Tatu. Ambapo Timu Kutoka Urambo, Kaliua na Sikonge Zitashiriki michuani hii Hapa Wilayani Sikonge.
Kuna jumla la Timu 4 zikatazoshiriki.
Kuna...
Mimi nimpenzi wa series ya Empire nilivutiwa na umahili wa Locius na Kuki aka Tarajj,ila nikawa na boreka na vitendo vya Jamal kuwa Shoga! ila nikajipa muda kwani tangu Season 1 hadi sasa Season...
Habarn wakuu, kwa yeyote anaeifahamu or alienao huu wimbo plz naomba unitumie, Ni nyimbo flan hv i think niya South Africa ina mahadhi fln hv ya kwaito alaf ni ya ktambo kdg kama around 90s ...
SANAA BILA VIKWAZO NA UVUMILIVU NI SAWA NA BURE.
Wapo ambao anaingia leo kwenye gemu na anawika ndani ya muda mfupi kutokana na sapoti au kampani nzuri anayoipata. Uvumilivu ni njia ya kujifunza...
Hbr za jioni wadau, nawatakieni merry christmass;
kipindi cha christmass ni special, mwenye ule wimbo wa "makondele maa makondele merrychristmass'' naomba auweke hapa wengi tunaupenda ili...
Habari za Muda huu Ndugu zangu...hatimaye leo imekamilika, Hii ni app mpya inayoitwa mtikiso Music hii app imetokana na blog yake ya mtikiso hivyo basi kuanzia sasa inapatikana playstore kwa...
Nasikiliza wimbo Kakolele wa Mkongo Baba Gaston anayesemekana alifariki Machi 25, 1997, hapa Tanzania (Aliamua kuishi Tanzania baada ya kustaafu shughul za muziki nchini Kenya mwaka 1989) na...
Hivi jamani tunaona mikoa na kanda za Tanzania bara nyingi kuna timu za mpira wa miguu kwa mfano kanda ya ziwa kuna kagera sugar, pamba, mbao nk huko mbeya tuna mbeya city kwa dar kuna yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.