Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Naam wapenzi wa movie za karate kwa miaka hyo ya nyuma ulikua ukitaja list ya majambazi yenye roho mbaya kwenye movie za karate bas huwezi acha mtaja bolo yeung au bolo yanki kama wengi...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Hasa hasa hiphop tanzania wapo vijana underground doing Great things an using their mind to create A unique sound KAWASIKILIZENI HAWA kutoka soundcloud Brian simba George gavin Mext cortez Mjb...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Naombeni ushauri wenu natamani nipate series nzuri ambayo ntaangalia na kujifunza kitu
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Hello wadau, kuna watu walikuwa wanautafuta sana wimbo wa CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NO 1, nimebahatika kuupata ni huu apa, Usisahau kusubscribe hannel yetu kwa Nyimbo adimu.
1 Reactions
24 Replies
12K Views
KOMBORA KIOTANI-31 BONIFACE BIRAGE Wengi walikuwa na shauku ya jinsi kipindi kingeenda kwa siku ile na jinsi kingepokewa na umma.Kulikuwa na stori kubwa iliyongoja kuruka...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Mods hongereni kwa kazi kubwa mnayoifanya humu JF. Napendekeza liwepo jukwaa au kipengele cha hadithi na story kama zile za kikosi cha kisasi, Njama, Ntakupata tu, na zingine. Mimi ni mpenzi mzuri...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakumbuka ilikuwa tarehe tatu march 1998,nikiwa mwanafunzi shule ya sekondari mwembetogwa pale iringa.baada ya masomo nilipata likizo fupi.nikawaomba wazazi niende kwa babu yangu aliyekuwa akiishi...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya kuanglia vipande kadhaa vya show ya mwanamuziki wetu diamond platnumz, chibu dangote...Nikaona kwamba wengi wao waliohudhuria ni kutoka afrika mashariki hao wengine ni kidogo sana...
1 Reactions
1 Replies
741 Views
Kwa ile amri ya mkuu wa nchi kuhusu mavazi ya heshima kwa wacheza muziki mimi natabiri muziki wa bongo utashuka thamani yaani mashabiki wa kuangalia video zake watapungua. Maana hakuna cha maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF tafadhal mwenye collection ya nyimbo za chrismas aniweke hapa. Nakutakieni heri ya Krismas
0 Reactions
8 Replies
14K Views
Mwaka unakaribia kuisha twambie umekutana na mikasa gani.utokaa uisahau maishan mwako.
0 Reactions
2 Replies
522 Views
Wadau hili ni swali... Nimeona video nyingi na hii hapa chini ni mojawapo, Hivi inawezekana kweli jicho moja kuzunguka bila mwenzake kufuata??? Au kiunakua na photoshop tunadanganywa???
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Mim si mpenzi wa Nigerian Movies na hata kwa bahat mbaya huwez kunikuta naziangalia hizi movie Ila kuna Movie moja inaitwa 76 Imecatch my attaention kwanza kwa wahusika wa hyo Movie pia theme yake...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Video 20 za wasanii wa Bongo zilizoangaliwa zaidi YouTube 2017 – Bongo5.com Source.. Bongo5
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ACTIVE x MWANA FA GO MAMA hajawahi kushuka hata sielewi upo hapo
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi kinacho nifilisi ila sikomi ni 1.mchezo wa biko 2.bandle za internet hasa voda 3.bia ikifika jioni lazima nipate hata 2. Mungu nisaidie
7 Reactions
156 Replies
13K Views
Naombeni msikilize na kuangalia lyrics za huu wimbo Statistics by Lyfe Jennings, then mseme kama kuna ukweli kuhusu hii statistic kwa wanaume
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari JF. Leo naomba kujuzwa hili jambo kuhusu nyimbo za msanii Diamond Platinum kutokupigwa katika vituo hivi vya EA Radio na TV (Channel 5) Nauliza haya baada ya kufuatilia kwa muda...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wadau naamini wengi mnafamu tattoo ni kitu gani...watu wengi huchora tattoo kwa sababu zao tofauti kama vile fashion tu au kuficha alama ama makovu ya vidonda...Lakini kwa leo nimewaletea list ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natarajia kusafiri next week niltarajia ningesafiri na na private car lakini haitawezekana maana gari imepata matatizo kidogo, ivyo basi kama kuna mtu anayetaka kusafiri kutoka Dar kwenda bkb na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom