Habari za majukumu wakuu, natumaini wote mu wazima wa afya na mambo yanaendelea kusonga kwa neema za Mwenyezi Mungu.
Bila kupoteza muda naomba kuuliza ni wapi alipo huyu mrembo Warda Walid, ni...
SHERIA ZA GROUP
*Marufuku kupost kitu chochote ambacho ni tofauti na jina la group linavyosema (latest movies) group ni maarumu kwa ajili ya movies tu
*marufuku kupost picha za uchi au video ya...
Kati ya vitu ambavyo vimelingana (rika) na TV ya mzee wangu pale nyumbani ni hii tamthilia ndefu kuliko zote ulimwenguni.
Mimi najuuliza itaisha lini? Maana mimi nazeeka na yenyewe ndio kwanza...
Kiuhalisia mimi nimekuwa mfuatiliaji wa muvi nyingi ila hizi muvi za kuinspire watazamaji ndo nazpenda zaidi .....hii apa list yangu
1.UNBROKEN...hii ni bonge la muvi jamaa anatoka UK alkokuwa...
EAST COAST TEAM
Mimi Deogratius Nalimi Kisandu ambaye kwa jina la Kisanii nafahamika kama "MASQO" Kati ya mwaka 2003/2004 nilifika Upanga anakoishi Msanii wa Bongo fleva na mmiliki wa kundi la...
Wakati wasanii wakipanda majukwaani na suti kuimba wale wenzao wa kike wanapanda majukwaani vitovu, matiti, mapaja na chupi njenje, hii inasababishwa na nini? Kitu gani kimepungua kwa wasanii wa...
EAST COAST TEAM
Mimi Deogratius Nalimi Kisandu ambaye kwa jina la Kisanii nafahamika kama "MASQO" Kati ya mwaka 2003/2004 nilifika Upanga anakoishi Msanii wa Bongo fleva na mmiliki wa kundi la...
Wakuu,salaamu kwenu. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa riwaya pamoja na hadithi zinazo letwa humu Jamii Forum.
Kwa muda sasa nimekuwa natafakari ninamna gani tunaweza kufanya au kuitumia ili kuwa...
SIMULIZI YA MAMA MBISSE!
Hii ni simulizi aliyowahi kunisimulia Mama Mbisse ambayo nikiifikiria nakuwa nawaza sana kuhusu mambo ya dunia hii.
ILIANZA HIVI…Baada ya mimi kuondoka kijijini siku...
Wapendwa wangu leo nataka nianzishe mchezo ambao hauna hasara kwako bali faida.
Unachotakiwa kufanya:
Taja herufi tatu za mwanzo za majina yangu matatu.
Mfano. Japhet Michael Mbwambo...
Nakumbuka mwanzo wa muziki wa bongofleva watu wazima walichukizwa na mtindo huo na kuziona nyimbo hizo kama za kihuni.
Ni baada tu ya jitihada kubwa za baadhi ya wasanii maarufu kama akina Sugu...
Vikings ni moja kati ya series nazozikubali sana.
Season 5 imeanza kurushwa hivi karibuni.
Floki na Ivar the boneless ndio characters wanaonivutia kwa sasa baada ya kufariki Ragnar Lothbrok.
Wale...
Safi sana kijana Nasibu.haya ndiyo mapinduzi ya Mziki..na wewe ndiyo kiwanda cha mziki Tanzania..Hongera sana. Kimataifa zaidi..
ukiona lugha inakusumbua kwa hii ngoma basi msubili Lavalava...
Ebwana huyu dogo kwa mara ya kwanza nilisikia wimbo wake katika lile tukio la ajari ya wanafunzi kule arusha, na baadae nikasikia wimbo wa Amisa mobeto, Sifa kwa wanawake na nyinginezo nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.