Hii biashara nahitaj kuianzisha na eneo nililopo lina watu wengi ila hakuna ukumbi zaidi ya kuangalia ktk bar tu,ukizingatia wengine hawapendi kuangalia mpira bar Mimi nahitaj kufungua ukumbi...
Wana jf mimi ni kijana miaka 23 ndo nachipuka ki muziki,nahitaji meneja wakuniwezesha ili nitoke na nitambulike.nikk vizuri sana nimeshafa maojiano na vituo mbalimbali za redio na tv na mpaka sasa...
Habari wanabodi,
Hawa jamaa Weusi hii nyimbo yao unanifanya nicum ni noma! Wako vizuri sana...Gnako ni fundi mbaya, na vile kacombine na mafundi Joh na Nicki basi ngoma imekamilika.
Big up kwao..
Salaam kwenu,
Binafsi nimekerwa sana na matokeo ya timu yetu ya mpira huko kwny mashindano ya CECAFA. Timu hiyo imefungwa tena magoli 2-1 baada ya kufungwa idadi hiyo hiyo na ndugu zetu Zanzibar...
Nijulisheni wana jf.Hiyo channel ya tve inapatikana kwenye decoder gani? Dstv? startimes?continental? zuku?Nataka ninunue decoder yenye chaneli ya tve.
Hakika Mungu hakupi unachotaka bali unachostahili.
Kijana machachari kabisa asiye na tambo za maisha binafsi ametibu kiu ya mashabiki zake.
Kupitia wimbo alioshirikishwa na mdogo wake Abdu Kiba...
ni mdaa sasa nimekuwa mpenzi wa cover songs maana zinanipa burudani niitakayo na kuweza kuona vipaji mbalimbali ...so nita share nanyi cover songs ili uweze pata burudani hii nawe waweza share...
Katika tangazo la tigo hili jipya la baba ulimpatajemama kuna beat ya chini inasikika kwa mbali,naomba mwenye kujua beat hiyo huwa ni ya wimbo gani anisaidie tafadhali
Kesho tarehe 8 aslay atapiga show kubwa pale Lina's night club show inaanza SAA 3 usiku itakuwa ni isiku wa kisherehekea miaka Tisa ya radio kasibante radio matata mjini bk usikose nyimbo zote za...
Ni zaidi ya miaka 35 tangu afariki dunia, ila muziki wake umeendelea kudumu zaidi kiasi cha wasanii mbali mbali kuzitumia tungu zake kwenye tungo zao, ama kurudia nyimbo zake ama kutumia rithym ya...
Ninapenda kuweka wazi maombi yangu ya kupewa taarifa ulipo usahili (auditions) wa kuigiza katika filamu, documentary au matangazo ya runinga. Naomba msaada na ushirikiano wenu. Ahsanteni.
SADIKI NA SIKIRI
Sadiki ni mtoto anayeishi karibu na Ujiji. Anaye ndugu yake aitwaye Sikiri. Sadiki na Sikiri husoma katika shule ya Businde. Sadiki anafanya kazi zote kwa bidii. Lakini Sikiri...
Dr. Shika aandaliwa tamasha la ‘Usiku wa 900 itapendeza’
Dkt. Louis Shika ambaye amejizolea umaarufu baada ya kuibuka mshindi katika mnada wa nyumba za mfanyabiashara maarufu, Said Lugumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.