WASAALAM………..
Wakuu najua sasa hivi jukwaa lipo bize kujadili mara hallelujah, mara vevo mara youtube mara zamaradi mara ruge mara nini sijui…lakini nakuombeni mpite hapa pia ili kama kuna...
SEHEMU YA 01:
Eddy ameamua kuondoka nyumbani kwa wazazi wake na kwenda kupanga, kwa bahati nzuri anapata chumba katika nyumba moja yenye vyumba sita maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa.
Nyumba hiyo...
Ottu jazz band_Udini na ukabila. Wimbo unazungumzia madhara ya vita. Tunaomba amani eeh! Dunia yote iwe na amani........Ni wa zamani kidogo anaujua anisaidie kuupata
Wanamuziki kumi wanauwezo wa kutoa nyimbo zinazofanana na jamii ikashtuka kuwa wameibiana mawazo.
lakini washairi mia moja wanaweza kuandika wazo moja na watu wasitambue kwa haraka kuwa...
Wanipa sababu za kupenda, nimeshasahau maumivuu
Daima milele nitakuganda, nikikosea niadhibuu
Mr.computer nipange vinanda,nizikwe na wewe zainabuuu
Nje kuna kiza kimetanda, we nuru Fanya...
Asalam aleikum ndugu wana JF
Leo ningependa uchangie labda hata kwa mawazo nijinsi gani tufanye ili tukuze soko la filam kwa nchi yetu maana soko la filam kwa nchi kama Tanzania limeshuka...
Kama mkulu alitangaza, hakuna kukaa uchi, sasa kuna majamaa apa azam two sijui yako ukumbi gani yanatunisha kila kiungo, adi makalio.
Vipi ili katazo haliwahusu hawa, au ni la kina gigi mane tu.
Wapendwa kuna uwimbo unaitwa NIMEPATA SALAMA, umeimbwa na dada mmoja kutoka Kenya anaitwa HULDA VAGEN mwenye kuujua au mwenye nao naomba saaaana anipatie, naupenda mmmmno nimejaribu sana kuusaka...
Wakuu habarini...
Naimani wazima wa afya tele..
Wakuu nina shida na nyimbo inaimbwa..
"when i come back home,everything gonna be alright, so mamy don't go,everything would be just fine"
Sikumbuki...
Kwa wale wapenzi wa kusikiliza redio,hasa vipindi vya burudani naomba tutaje kipindi cha redio ambacho umevutiwa nacho kwa mwaka huu wa 2017
Mimi vyangu ni
The Cruise..kinachoruka east africa...
Habari wana jf kuna tamthiliya Fulani inaitwa pasion and power inarushwa ITV kila j3,j4 na j5 SAA 4 usiku.wameekti wamexico ila ni ya English sasa nikijaribu kuidownloa d nakuta wanatalk Spanish...
Habarini wakuu, hivi mfano mtu anataka kuja kuwa muimba mziki au muigizaji, je ili atimize ndoto yake hiyo huwa kuna time limit mfano labda ni late 20's au early 30's au huwa haina limitations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.