Hugh Hefner -- the silk-robed Casanova whose Playboy men's magazine popularized the term "centerfold," glamorized an urbane bachelor lifestyle and helped spur the sexual revolution of the 1960s --...
Hivi wadau hizi nyimbo za Msanii wa kipindi cha vituko show cha channel 10 (kundambanda zinarushwa kweli hewani ? ) naomba mnijuze , nina nakala 5 lakini nawapa moja wanajavi msikilize.
Msaada mwenye wimbo wa king crazy GK alomshirikisha mwanadada Pauline Zongo unaitwa KOSA LANGU naomba autume hapa.... nmejarbu kuutafuta mara nyng nmeshindwa, nmegoogle nmecheki link nying sana...
Wale wapenzi wa Series, especially EMPIRE...
#HAKEEM
#COOKIE
#LUCIOUS etc..
SEASON two inatoka Tarehe 28..
Ngoja tusubili....
Binafsi namkubali sana Cookie...
The way alivyo act...
Nikiwa nasikiliza redio clouds Fm hapa, nasikia mtangazaji wake akiisifia Arusha na kusema kuwa inashangaza sasa hivi imebadilika na mashabiki wake walikuwa wanawashangilia wasanii wanaoimba kama...
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe amesema amepiga marufuku mashindano ya miss Tanzania na Tuzo za muziki
Amesema mashindano ya Miss Tanzania yamegubikwa na ubabaishaji...
Habari wadau, hivi nawezaje kuwapata Azam TV Call Center au Huduma kwa wateja? Nimeuliza hivyo kwa maana kila ninapo jaribu kuwapigia kwa namba zao zilizowekwa inachukua muda mrefu sana kusubiria...
Nyota wa mpira wa vikapu nchini Marekani LeBron James amewapongeza wachezaji wa ligi ya soka ya Marekani NFL ambao wamefanya mgomo dhidi ya rais Donald Trump na kumtuhumu rais huyo wa Marekani kwa...
Wanajamvi,
Bila kupoteza muda, mimi sio mtazamaji wa movie. Tangu nimezaliwa hadi sasa, takribani miaka thelathini na kenda, sijawahi kuangalia movie hata moja mpaka ikaisha. Mara nyingi hua...
[9/16, 11:27] [emoji146]: NICE GUY OF CENTURY
SEHEMU YA 01
Ni katika supermarket moja alionekana Baba akiwa mke wake pamoja na mtoto wao mdogo wa mwisho katika uzao wao,mke alikuwa...
Are you Ready for Accepting the Challenge?
The long-wanted Collab feature is available in Singplus app! We’re so glad to tell you the latest version of Sing+ comes with a brand-new “Collab” mode...
Mimi binafsi ni mpenzi mkubwa wa miziki ya rumba hasa ya Kongo. Na kati ya wanamziki ambao kila siku ni sharti nisikilize na kufuatilia habari zao mpya ni: 1. Koffi Olomide
2. JB Mpiana...
Ndege Aina Ya Boeng 737 ya Nchin Ujerumani ilio Tekwa Ka Miaka 40 Na Kundi La Kigaidi Lililo Julikana Kana RAF -Red Army Fraction Likidhaniwa n La Palestina.. Ndege Hio Imerejeshwa Jana Baada Ya...
wadau habari.....
hebu nipeni maujuzi nipate epsode zote za ISIDINGO ambazo zipo kati ya ile inayooneshwa na ITV na ile inayooneshwa na SABC3 ili niendelee na hiyo ya SABC3 maana ratiba ya ITV ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.