" Hallelujah" Kijana wa tandale kaleta nyingine akiwa na Morgan Heritage chini ya director Moe Mussa. Kamaliza au kazingua?
Diamond Platnumz "Hallelujah" (ft Morgan Heritage)
Verse 1 - Diamond...
Nimeusikiliza huu wimbo clouds sasa hivi, sijaona hata mstari mmoja Wa maana nnaoweza kuuweka kichwani, una flow tongue twister, unang'ata maneno!+ quote za kimombo!, rudi enzi za MWANZA MWANZA...
Kiukweli kwa sasa mayoung wanaotamba mjini wamebaki wawili tu kwa hii game ya hiphop, hapo awali dogo janja alijumuishwa pia lakini kwa sasa ametupwa nje na hawa madogo wanaotamba
Young dee...
Habari zenu wana jf
Kama kichwa hapo juu kinavyosema kutokana na kauli ya rais jpm
NANUKUU "Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kuja kufanyia mikutano yao hapa (Ikulu) waombe, hapa ni pa...
Wakuu habari!
Binafsi sio mpenzi wa hizi zinazoitwa singeli, ziite mnanda ukitaka au ukipendezwa ita mchiriku au muziki wa hovyo, yaani wewe tu.
Ila Sasa Kuna hii ngoma ya Mataluma inayoitwa...
'Hallelujah" Ni wimbo mpyaa kutoka kwa Diamond platnumz, wimbo huu umekuja kuvunja record na kuweka record mpyaa kwenye mtandao wa Youtube..
1. Kabla hata haujafikisha Masaa 12, Ukawa ndio wimbo...
Mwaka huu 2016 kuna Movies kali sana zimetoka mwenzenu sichoki kuziangalia kutokana na uzuri wa story ya Movie au Mishe mishe zilizopo ndani ya Movies hizo baadhi ya Movies hizo ni hizi:-
Mission...
Nice weekend kwa wala bata,
Bata la leo ni batani Tabata kinyerezi yaani WCB wanajaza watu hatari na bonge la stange aisey.....
Tuacheni team Dimond ni muha alisi anaejua namna ya kutafuta hela...
Haijalishi ulisoma enzi za mwalimu, mzee ruksa, ben au braza jk sote tumesoma vitabu vya riwaya/tamthiliya mbalimbali za waandishi wetu wa nyumbani.
katika kusoma huko naamini ipo...
Miongoni mwa nyimbo ambazo hua zinaniamsha pale napohisi kukata tamaa:
1.Darasa-weka ngoma
2.Eminem ft Nate dog- till I collapse
3.Damian Marley ft nas escober- Strong will continue
4.The...
Mwanzo wa usajili wa wasanii wanaopaswa kuperform kwenye stage ya Fiesta 2017, walisema kigezo cha kwanza lazima uwe na hit song kwa wakati huu..
Moja ya wasanii wanaofanya vizur kwenye game hii...
Hakika kila mpenda nchi Wa zama zetu aliupenda wimbo huu Wa Atomic Jazz, lakini kwa sasa, hasa baada ya awamu hii ya tano kuingia madarakani umepoteza maana umepoteza maana. Kwa nini lakini?
Hivi...
1. Feels by Calvin Harris feat. Pharrell Williams, Katy Perry & Big Sean
2. Despacito (Remix) by Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber
3.Galway Girl by Ed Sheeran
NI UBAGUZI, UBAGUZI WA KUTISHA !
- Hawa Fiesta kila mkoa wanakoenda huwa wanachukua baadhi ya wasanii wa mkoa husika lakini kwa Mara imekuwa tofauti kabisa, licha ya Musoma kuwa na wasanii wazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.