Pande za USA msanii nguli wa HIP HOP ametoa povu lake kumdiss Rais wake Donald Trump, katika BET HIP HOP AWARDS FREESTYLE , katika kuonyesha jinsi gani asivyomkubali Trump Eminem alitoa mistari...
Mambo vp wapenzi wa burudani...
Kuna hii ngoma ya huyu mtu TASH, ana ngoma fulani inaitwa NAZINGUA sijui CHAPIA (kama sikosei).. Ni ya kitambo kidogo, anaimba kwa kurap-rap hivi.. So naikubali...
Habari zenu wakuu,poleni na majukumu.naomba mwenye kuzifahamu ngoma Kali za sweet reggae aniwekee nizitafute au aniwekee link kwa kudownload.natanguliza shukrani.
Jana nimesikia track ya mchizi Chindo unayoelezea story za mwana wa ndichi ila nimejaribu kuitafuta lkn mwisho wa siku dolo.Plz mwenye nayo ani Pm au aweke link niiendee kwa ju.Amani
NEW BONGO MIX FOR FREE LISTENING
You can also check out some new and Classic bongo music on this mix. The mix is NOT FOR SALE but for FREE LISTENING and will be showcased on bongo radio in the...
Wengi wamekuwa na mashaka kuwa Oliver Mtukudzi amefaliki Dunia lakini hizo zote zilikuwa ni hisia tu baada ya Mwana Muziki huyo mzaliwa wa Nchi ya Zimbabwe kukaa kimya kwa muda mlefu na huku...
Wasalaam wana jf
Haya ni mawazo yangu binafsi na pia ndo mtazamo wangu, pengine nisiwe sawa au nikawa sahihi kwa asilimia kazaa.
Nimeanza kumfuatia Richard mda mrefu sana, nimekuwa nikifuatilia...
Habalini wana jamvi kuna nyimbo inaitwa malaika. Ameimba mwanamke na mwanaume anaitikia. Acha alio imba maliamu mukeba je ni msanii gani alio imba na pia naomben link ya iyo nyimboo
Habarini wakuu,
Kuna huu wimbo wa kitambo kidogo miaka ya 2008 ndo nilikua nikiusikiaga, sasa nimeukumbuka sana nataka niu-download ila kila nikiuliza kwa namna tofauti google siupati.
Nikaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.