Aisee msaada tutani nilikua natumia app ya bmovie kudowload movies free ila now haifanyi kazi please kwayeyote anafahamu application yenye similar features kama hiyo msaada Tafadhali.
Habari za jioni wanajamvi,
Kweli Mimi binafsi ninavutiwa sana na series hii ya bwana Lyon lakini sijapata nafasi ya kuingalia yote Ila vipande vidogo vidogo, lakini kiujumla ni movie inayofundisha...
sor wadau nime shindwa kuweka Audio moja kwa moja pliz tumia
link hii kuupata ni simple tuu......
Audio | Poz Bee - Rudi Home | Mp3 Download - Mtiwadawa
Sina jeuri ya kukausha eti nisi waombe...
Wakuu!
Sijawahi kuandika chochote kuhusu huyu Dogo Aslay ila kwa huu wimbo wa natamba imebidi nimsifie kwa kazi nzuri, amekuwa akitoa nyimbo nzuri sana ingawa ni kwa mfululizo lakini namuelewa...
Uzi huu unalenga kukumbushana au kupeana update za western movies kama vile
Magnificent seven
Today it's me tomorrow it's you
Hateful eight
Django unchained
12 years a slave
Unforgiven
The...
Wakuu hali zenu.... nimejaribu kutafuta lyrics za huu wimbo nimekosa. Nimeamua kusikiliza na kuandika mwenyewe.... je hivi ni sahihi?
1 Naomba unisaidie kushare, naomba unisaidie kushare x 2
2...
Nawonder nawonder kila rhyme kila stanza/
Napanga na kuranda kwenye home za kupanga/
Kupanga kupanda kila mbegu juu ya mwamba/
Na mbegu zinagonga mwamba kila nyanda/
Najitahidi kung'ara bila...
tumefikia mahali kuna mashindano ya uzuri katika kila kitongoji za miji mikuu Tanzania? wakati Watanzania tunashindana kwa uzuri, wenzetu wana masindano ya ufundi/sayansi, lugha/insha/mashairi...
Wenzetu wanapo sherekea miaka 50 ya uhuru wao kisiasa,
sio vibaya nasi tukisherehekea miaka 50 kwa kutengeneza playlist
ya nyimbo bora zilizo vuma ndani ya miaka hii 50.
List yangu ni:-...
Wana jukwaa Diamond yupo zake Zanzibar kufanya show jambo la kusikitisha wazenji wamesusa ,show ya diamond imekuwa na watu wachache na mapengo kila mahala
Wazenji huu si uungwana hata kama...
Kila mtu kuna mchezo ambao aliupenda enzi za utoto, na kama hakucheza michezo utotoni basi wewe atakua na kasoro.
kiukweli mimi ukiacha mchezo wa kombolela mchecho mwingne nilioupenda ni huu:
Nataman kujua vipindi mbalimbali vya television za Tanzania vilivyobora kwa nyakat mbalimbali ili nikipta wasaa wa kukaa mbele ya tv nipate kuona madini ya maana
Nasema hili coz kuna baadhi ya...
Wakuu Natafuta wimbo wa OTTU JAZZ BAND_PANAPOTOKEA VITA. Ameimba Tx MOSHI. Wimbo unazungumzia Madhara ya vita huku zikitajwa baadhi ya nchi zilizokuwa na machafuko wakati huo Liberia na Somalia...
Kile kibao cha Despacito kilichoachiwa na Luis Fonsi,kimevuja record ya dunia kwa kuangaliwa na watu bilioni nne ndani ya miezi tisa,Diamond na wewe ufuate nyayo.Bilioni nne tena VEVO.
Wote hawa ni wachambuzi wa muziki wa dance hapa nchini, Adamu akiwa kitu cha City FM na Zomboko akiwa ITV na Redio one.
Sisi wapenzi wa dance naomba tupige kura nani zaidi? Mimi kura yangu...
WHY MEN ARE CALLED "GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?..
Why is the newly wedded man called groom and the woman called bride? A friend of mine got tired of his wife just about six...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.