Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mwaka 1990, ni moja kati ya mwaka uliokuwa na mahangaiko mengi kisiasa na kiuchumi pia. Leo nimeona nijuze katika historia kwa mwanamasumbwi gwiji duniani wa uzito wa juu kulambishwa sakafu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pepe kalle alikuwa mkongo lkn ana moyo wa kizalendo na mapenzi makubwa kwa Tanzaniania kuliko watanzania wenyewe.kwa nyimbo zake kama Yanga Afrika, na Hidaya hakika alituthamini watanzania kuliko...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Muziki wa bongofleva umefanya mapinduzi sana kuanzia mwanzoni mwa miaka 2000 mpaka sasa, zifuatazo ndizo nyimbo bora za bongofleva zenye ujumbe ambazo hupaswi kuacha kuzisikiliza... 1...
5 Reactions
118 Replies
48K Views
Habari! Kwa wale waliojaaliwa kuwa na king'amuzi cha dstv, kuna channel no 136 huwa kuna vipindi vya jamaa wanafanya miujiza nk! Mmoja anaitwa the carbonaro effect na Dynamo magics! Hivi kwa watu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wahenga, tukumbushane mbwembwe za Juma Pondamali, alikua analeta burdani kwenye soka hamna tena.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu mi kama naona vile Linex kwenye chorus huwa anasound poa,katika nyimbo unazozipenda nani alikuvutia kwenye chorus?
0 Reactions
106 Replies
14K Views
Hakuna ubishi kwamba huu muziki ndiyo unaosumbua zaidi kwa sasa duniani!! Chart mbali mbali duniani zimekuwa zikimezwa na huu muziki, Kuanzia Billboard, Uk top 40 na nyinginezo! Imefika wakati...
2 Reactions
89 Replies
10K Views
Habari wadau,,,,inakuaje mwanaume hupitiwa na usingizi mzito pindi anapomaliza sex tofauti na mwanamke
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wana jf, nina mpango wa kufungu kitu kinachoitwa Library ( yaani kwa ajili ya kuuza filamu ) sasa nilikuwa nina ombi moja kwenu wakuu wangu mnisaidie list za muvi kali iwe ni sirizi au hata...
0 Reactions
6 Replies
17K Views
Habari wadau kuna wimbo joti kaucheza unapenda kufaham nani aliuimba wimbo huu Na unaitwa Je wale wazee wazamani mnisaidie link hii hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi, nina mpango wa kuanza kutunga mashairi ya bongo fleva na hivyo kuwa msanii wa Muziki huu, Lengo ni kuja na 'mashairi ' yatakayo wapagawisha watu wa makundi yote.. Ushauri wenu juu ya...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Baada ya kuangalia inakoelekea nchi yetu, Baada ya yaliyomtokea Tundu Lissu,the great, Mimi kama kijana wa Chadema naomba nikutafsirie wimbo huu wa Luke dube. Ni mzuri mheshimiwa, utaupenda, hata...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii tabia ya wasanii bongo kutunga mashairi tata siielewi kabisa kuna wakati inakuwa ngumu kusikiliza au kutazama na familia. Kwa mliosikiliza huu wimbo wa Madada Sita unaitwa Usingoje ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tamthilia maarufu ya Marekani Quantico imetumia lugha ya kiswahili katika episode yake ya kwanza season(msimu) ya pili.Tamthilia inayoigizwa na Muigizaji maarufu wa India Priyanka Chopra imetumia...
5 Reactions
32 Replies
9K Views
Kwanza nampongeza aliyefikiria wazo ili la kukutanisha wasanii wote kuzunguka mikoani na kutoa burudani. Ni uzalendo.Hawa wanao jitenga aidha ktk kujiona kuwa wao ni masitaa au wanataka dau...
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Hakika ni bonge la wimbo toka kwa marehemu pepe kale naomba anaejua kuutafsir maana yake napenda sana kuujua. WIMBO UNAITWA MOYIBI UMEIMBWA NA PEPE KALE.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa mpenzi wa bia aina ya safari kwa muda mrefu sasa lakini ukiangalia kuna utofauti wa chupa zake moja pale kwenye kifuniko ina shingo nene yaani rungu na nyingine shingo nyembamba .sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ukiaangalia vizuri hii movie ina makosa kibao,, moja ya kosa ambalo kwangu lilinikera sana ni huyu mama,,grace mapunda (kama mnavyomuona hapo pichani) akimwambia huyu dada(nisha au salma jabu...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Karibu katika group mpya ,,jiunge kwa kufuata link hii Follow this link to join my WhatsApp group: Chelsea Tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi kuna wimbo mmoja uliwahi kufanyiwa movie moja bongo hapa.ambapo msanii alikuwa mpiga debe stend alaf anakuja kuchukuliwa na jamaa baada ya kuonekana ana kipaji cha kuchana mistar.kwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom