Salaam,Wakuu, nimeanza na cover za wasanii wa nje naziimba kwa usahihi kabisa mfano. :human nature by mj
:Gone too soon by mj
:I look to you by witness Houston.Etc
Kwa cover za wasanii wa ndani...
Salaam wakuu.
Kuna wimbo ulikuwa ufanyike baina ya Chid Benz na 2Pac Shakur. Tumeusubiri kwa hamu kubwa wimbo huu toka kwa wasanii hawa ila nimeona kimya mpaka hii leo.
Sasa, nimechukua...
Habari wakuu...heading ya kukuvuta tu haihusiki ila
sijui hiki mtakiitaje kipaji au ni nin maana
Wakati mwingine huwa najishangaa haswa pale napokamata kalamu na daftari langu flani hivi...
Watu waachwe wafanye shughuli zao za kupambana na hali zao na kujiletea maendeleo huko mikoani badala ya kupumbazwa kwa starehe za wapiga dili.
Tigo fiesta haina tofauti na mikutano ya siasa...
Habari Wanajamii Forum
Mwandishi, Abdallah J. Safari.
Leo ngoja niwaletee riwaya moja ambayo kwa hapa kwetu Tanzania inaweza ikatuangazia sana maisha yetu.Riwaya inaitwa Joka la Mdimu.
JOKA LA...
Nawasalimu nyote, lakini salamu aidi iwafikie nyote mlio wadau wa nyimbo toka Congo.
Ninaomba kwa yeyote anayejua Lingala anisaidie kujua Tafsiri au maana ya wimbo wa Ferre Goma -Maboko Pamba...
"Chawa" maarufu wa Mkoa wa Dar , Bwana "Lemtumboz" alitoa ujumbe kupitia Instagram juu ya onyesho OMARION lililofanyika Elements na kumalizwa kiubabe kabla ya muda uliopangwa. Unadhani hili...
Mm Ni Kijana Mwenye Miaka Kumi Na Nane Na Niniakipaji cha kuimba lakin sijapata mdhani wa kunidhamin ili nitoe nyimbo yangu!
Kama unataka kunisaidia nisaidie ili nitoe nyimbo ambayo tayari...
wahenga mliokaa maeneo ya Dsm hasa kinondoni,huyu mzee hamuwezi kumsaha.kipindi hicho mtoto km hataki kuoga au kula we mwambie mzee magambo yupo mlangoni utamkuta bafuni anakusubiri na mlango...
Mkali na nguri wa hip hop Tanzania na Africa Mashariki, Juma Nature na Harmorapa watakuwa Kakola Bulyanhulu usiku huu katika ukumbi wa Bar moja maarufu iitwayo Matako Bar mkabala na Bar nyingine...
Nakumbuka nilivyokuwa dogo, wilaya ya moshi mjini huko, kipindi cha Kampeni utasikia nyimbo za vijembe za Mama Minde aliyegombea ubunge Mara kadhaa na kukutana na upinzani mkali wa Ndesa Pesa...
Hizi movies huwa ni nzuri sana hasa zile zinazoelezea historia za nchi mbalimbali za Africa kama vile jinsi zilivyo struggle kupata uhuru au kuonyesha jinsi mataifa hayo yalivyokuwa governed...
Bondia muingereza antony joshua maarufu kama (AJ) anaesimama na rekodi yake ya kupigana mapambano 19,na kushinda yte 19 kwa k.o,aliejizolea umaarufu mkubwa kwnye ulimwengu wa boxing baada ya...
Je ni jinsi gani umeifurahia siku ya kuzaliwa kwa kiongozi mashughuli Tanzania Dr. John Pombe Magufuli.?
Swali ni kwamba inaumuhimu kwa watanzania kuienzi sherehe hii kila mwaka ifikapo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.