Mi movie ya "Dragon Tiger Gate" ya Donnie yen akiwa na vijana wengine wawili hatari.
Nimeitafuta YouTube, Fmovies kote hakuna full movie, wakuu naomba nisaidieni link ya kudownload hii movie ...
Ni wimbo ambao kiukweli kwa sasa ndiyo una hit sana airwaves za Radio Stations nyingi za Tanzania ambapo siujui wote ila Kibwagizo chake tu ndiyo nimekikariri ambacho kinasema ' nampa...
i hope Aslay gets the right management to handle his music, namuombea kwa Mungu aheshimu uongozi wake na pia awe na nidhamu ya kazi na ari ya kutaka kufika mbali , the game has changed and its...
Uzi huu ni malumu kwa ajili ya kubadilishana nyimbo mbali mbali zilizowahi ku-hit enzi hizo.
Kama una wimbo wa kikongomani, wimbo wa dansi ya kitanzania, bongofleva ya enzi hizo au wowote usisite...
Kwa hali ya maisha ya sasa na mitindo ya maisha ya kilasiku, kwakweli ni vigumu kupata vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na weledi na vipaji vya kipekee kama akina leornado da vinci,einstein...
Huyu Mh. wa Mikumi... nadhani ulikuwa ana maono au alifunuliwa kitu ktk maandiko ya miziki yake... hasa ukisikiliza huu wimbo wake wa Nang'atuka... kuna ujumbe ulio jitoshereza kwa viongozi wetu...
Mimi napenda sana mizaha, ucheshi na kucheka ili kuniondolea stress za maisha.Hapa jf jukwaa la utani udaku na gossip nalitembelea sana ili kujifurahisha.Pia kwenye tv zetu ikitangazwa kwamba kuna...
Sina kinyogo ndugu zangu, ukweli mie tangu nikiwa mdogo, nikiwa dancer nisiyejitambua na kukalilishwa kuwa hakuna mziki mtamu katika dunia hii kama mziki wa Zaire na sasa DRC, nawaletea siri hii...
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya Singida United na mabingwa wa kihistoria klabu ya Yanga umemalizika katika Uwanja wa Namfua kwa timu hizo kutoka sare ya bila kufungana...
Wakuu kunariwaya nilisoma hapa siikumbuki,,inahusu kijana mtoto Wa tajiri alimpenda Msichana wao Wa ndani wazazi walivyogundua wakamfukuza yule binti na kijana akaoa mwanamke mwingine,,baadae...
Mimi nikiongozi wa kikundi cha sanaa kilichopo mkoani Tabora.Kwasasa nipo kigoma kikazi Mara kwa mara huwa napokea malalamiko kutoka kwa wasanii baadhi kutokana na changamoto zahapa napale ambazo...
Wasalaam wakuu, Mimi naitwa (EmaNazo)nikiname(Kimberlite) kwa sasa najishungulisha na uimbaji hasa kwa sauti za Alto,na mezzo-soprano na soprano.
Hivyo kwa msanii yeyote anyehitaji msaada hasa...
Hellow wakuu,
Habari za wakati kama huu. Mimi ni mdau mkubwa sana wa zilipendwa za kwa wenzetu huko, ukiniambia watu kama Cool n' the Gang, natking cole, elvis Presley, marvin Gaye, etc. Unakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.