Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Husika na kichwa cha habari, nimeona traler yake iko powa naomba mwenye link ya kudownload anipatie Regards, Tiassa
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Aslay anazidi kuonyesha kwamba anazo nyimbo za kutosha kwenye kichwa chake bila kutangaza kama wengine yeye ni vitendo tu. Barnaba, Ruge, Rip Ndiku
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakuu habarini za manikin? Naombeni msaada wa nyimbo flan ya kitambo kaimba binti flan nsiyemjua ila nakumbuka tu baadhi ya mistar inapoanza, ni kama ifuatavyo Nikuite jina gani mpenzi, ujue...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumaini wadau wa riwaya hamjambo kabisa popote mlipo, Leo ninawaletea riwaya nzuri kwa ajili yenu, jisomee na kuburudika, kwa maoni na ushauri/lolote kuhusu kazi zangu za uandishi wa vitabu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jf, Kama mada inavyojielezea ningependa kushare vitu ambavyo kwa wale tuliokilia dar na kuishi sana huko hatuvujiui. Katika kuishi kwangu sikuwahi kufikiria kuwa unaweza kwenda mikoa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika mitandao na story za watu mitaani katika sekta ya burudani wamekuwa wakijadili na kusifia sana wimbo mpya wa Alikiba "seduce me" kwa kusema ni mzuri na umevunja rekodi sana! Swali ambalo...
6 Reactions
220 Replies
33K Views
ferouz wa enzi hizi yuko wapi jamani? nyimbo hizi huwa siishi kuzisikiliza starehe na bosi
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Fainali za mashindano ya 'Miss World' zinafanyika leo nchini China, na Tanzania tunawakilishwa na mrembo Julitha Kabete. Neno moja kwake kumuombea heri
3 Reactions
10 Replies
5K Views
Naombq yeyote mwenye mawasiliano na huyu mkufunzi au mwenye mawasiliano ya chama cha Mpira wa magongo Tanzania anisaidie nataka kumpeleka kijana wangu katika kuhudhuria kozi ya ukocha,anapenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Uzi huu ni wa kutupia ngoma kali za hip hop za kipindi hicho watoto wa kileo tunaziita old school ..tuanze na hizi -LL cool j~ mama said knock you out -Warren G~ regulate - a tribe called Quest...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Wasanii wote wanaochipukia na wangependa kufikisha kazi zao kwenye jamii kwa urahisi na kutambulika basi sogea mahali hapa kupata njia nyepesi na yenye mafanikio zaidi
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Yaani kamwaga uno la kutosha mbele ya wakwe zake, [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Niko morbid(mpenda vitu vya ajabu) kidogo hapa, Kuna huu wimbo wa instrumental huwa unapigwa ktk background ya matangazo ya kumbukumbu ya watu waliokufa, nataka nikiupata niudownload...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
"Nikiwa na umri mdogo sana nilijikuta napenda kusikiliza muziki na hata nikiwa shuleni mwalimu aliyeni vutia sana alikua wa michezo na muziki namkumbuka Mwl. Julieti aliyewahi kushika nafasi hiyo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
"Leo ni siku muhimu kwangu kwani mwaka mmoja unatimia tangu nianzishe rasmi utaratibu wa kuachia ngoma zangu kupitia mitandao, nakumbuka wimbo wa amechoka wakukaya video ndo ulifungua dimba kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tujadili pamoja kuhusu mwenendo wa riwaya nzima.Uchambuzi uambatane na maswali mbalimbali kuhusu simulizi kadri inavyoendelea kutolewa hapa mara mbili kwa wiki.Tuenzi lugha ya kiswahili...
0 Reactions
3 Replies
750 Views
Naombeni kujua kuna yeyote kati yenu humu JF ambaye ni mpenzi wa series za kihindi za star plus??? Na kama upo unapendelea series ipi?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cheki na hii ujionee !!!
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Hizi kauli/matendo siku za usoni zinamaanisha nini? ,Hatuwahi zisikia miaka ya nyuma..au ndo maboresho na ubunifu wa utangazaji na vipindi? 1.kuanzia jana tarehe 14 mpaka siku ya Maadhimisho ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maswali unayoulizwa unajibu tofauti kabisa . Umeshindwa kuitetea HipHop . Umeshindwa kukiri HipHop unayoifanya Si Commercial . Nilichikiona mm ni hiki Una Stress ya kimzikii...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Back
Top Bottom