najiuliza tatizo ni hatuna wakimbiaji wazuri au tatizo ni nini jamani it's real boaring kila marathoni kubwa unayoisikia duniani ni wakenya, Ethiopia. Eritrea
mwakyembe angalia na upande huu wa...
sisi ambao tumekuwepo miaka ya nyuma mika ile muzik wa zaile umetapakaa nchi na kwa ujumla bara zima la africa nadhan mnakumbuka kulivyokuwa na mpambano wa kukata na shoka kat ya kanda bongoman na...
Habari wana Jf, na Heri ya mwaka mpya 2014.
Binafsi ni mpenzi sana wa muziki haswa nkiwa chumbani kwangu, ila kwa muda sasa nmezitafuta hizi nyimbo Nimekusamehe by Hamza Kalala na wa...
Miaka ya 2000 kulikuwa na band Kali basi Inafrica walitisha na vibao kama Indege, Julie, Yalayala ya shababi.
Nawakumbuka wanamuziki kama Bob Rudala, Bizman na wengineo walikuwa wakali sana...
Jf kuna forum nyingi zikihusisha vitu mbalimbali km burudani,siasa,ujasiriamali nk
Kwa upande wangu naipenda sana forum ya Ujasiriamali coz nahis naendana nayo na ndio forum inayonipa vyote
Je...
Jameni hawa vijana hawa!!!
Yaani wale wasioelewa maneno ya huu wimbo watakua vitoto vya leo......
Eti enzi za sukari nguru, TV kwa jirani, Amita Bhachan...hehehe huu ubunifu dah
Mvua zilizonyesha kuanzia majuzi zimezua mambo mengi ndani ya jiji la dar ikiwemo wananchi kukosa makazi na hii ni kutokana na nyumba zao kusombwa na mafuriko. Pia mvua hizo zimesababisha...
Siku zote nimekuwa nikidownloa moves/ series kwa kutumia uttorents. But kwa wiki mbili sasa kila nikijaribu kudownloa wananiletea link flan hivi ili nilipie. Je kuna mabadiliko yeyote wameyafanya...
Wadau mm ni mshabiki sana wa movie za series na miongoni mwao ni hii ya traveller na the event zimeishia wapi?zote zimekomea season 1 .Ambae anaweza kuinsaidia kupata muendelezo series hizo...
Walio wengi wa wasichana wanakibilia peny kipato na kuwaacha wapendwa wao wakiyalaan mapenz. Na wao kwa bahat mbaya walioweng hawafanikiw kilichowapelek kule tatzo nini? Kufunguka ruksa ila xo mapovu
Jean de Dieu Makiese a.k.a. Madiluu alizaliwa May 28, 1952 katika jiji la Léopoldville ambayo ndio Kinshasa ya leo na kufariki dunia siku kama ya leo yani August 11, 2007.Madilu alianza kuimba...
So who was/is your favorite artist and which album could you not live without? Do you think the Marsalis have been good or bad for jazz?
Having just rediscovered a Miles Davis recording of "So...
Mambo vipi wakuu...
Nina request moja kwenu,Mimi ni muumini mkubwa sana wa jogging kipindi cha asubuhi na ili inoge huwa napenda kusikiliza nyimbo kali zinazonifanya nisichoke kwa haraka
Ombi lenu...
Aman iwe nanyi wapendwa
Husika na kichwa hapo juu.
Yule mnyama mtoto wa mama richad ajulikanaye kama mavoko leo ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la RUDI ambayo kamshilikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.