Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mwenye hii singeli... sijajua wimbo unaitwaje ila nausikia tu naipenda simba mshabiki wa damu au naipenda yanga shabiki wa damu, mwenye huu mzigo naomba anitumie, na kama ni nyimbo mbili tofaut...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habar wakuu Hii ni kwa wale wanaopenda kusikiliza mziki aina ya reggae Ebu tupia ngoma yoyote ya reggae riddim ukiisikilozaga mwili unasisimka Mm ni THRE IS A WAY by Tarrus riley Tupia ngoma...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wakuu, ninalo wazo, kupitia uzi huu na jukwaa hili wale wenye vipaji vya kuigiza na kutengeneza move yaani kutunga story tukutane hapa tuone tutashirikiana vipi, mimi nilikuwa...
0 Reactions
33 Replies
10K Views
a
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Wakubwa Mimi ni miongoni mwa wapenzi wakubwa wa kucheck movies,ila movies ninazozipenda ni action,vita na zile za kutisha japo Mara nyingine huwa napenda pia tamthilia za kisiasa sna ujasusi za...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Wadau huku kitaani wanasema ile miaka 30 bora ibadilishwe iwe hata mitatu tuu km mwendo wenyewe ndo huu [emoji116][emoji116][emoji116]
0 Reactions
17 Replies
4K Views
isikilize ya ukweli
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Muangalie mtanzania ambaye alifanya kazi vodacom anavyoelezea maajabu aliyofanya .story yake tamu sanaaa!!!
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Dope music.....
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Wanabidi asalam, Naomba kuuliza hivi huo wimbo pendwa nloutaja hapo juu uliimbwa/ ulitoka mwaka gani? Asante.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
je unakipaji
0 Reactions
3 Replies
909 Views
Habari wakuu, Kuna filamu moja ya Tanzania ambayo ndani yake msanii JB ametumia jina la Erick Ford, kwa anayeifahamu jina anipatie tafadhali. Natanguliza Shukrani.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wa JF. Kwanza nawapongeza ITV Tanzania kwa kuweka wawakilishi wao nchi kadhaa za Afrika Mashariki. Kenya-Dennis Musundi, Rwanda-Bryceson Bichu, DRC-Austerie Marivika, siwakumbuki wa Burundi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, kwa yoyote mpenda movies aliepo Zanzibar hasa town hapa Na ana movies Na unahitaji nyingine kama Mimi, Tunaweza wasiliana tuonane Na kubadilishana movies series Na mambo kama hayo. Binafsi...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau kwema?? Leo nikiwa nasafiri kutokea Morogoro kuja Dar, njiani kwenye Bus katika video tulizowekewa ni pamoja na ya Msanii anaitwa Ruby, wimbo ni Forever ule Original Version ukiacha remix...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Vunja Mbavu | Dakitari Awala Hela Ebitoke na Mjeshi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Finally ASAP Ferg's Plain Jane video just came out [today]. Am I the only one who thinks the song is dope? :D
0 Reactions
3 Replies
668 Views
Wakuu, nipo Dar sasa tokea mwezi wa nne mwaka huu. Pamoja na kuwa niliisha ulizia pahala bendi hiyo inapopatikana pindi nikifika Dar lakini sasa nimesahau hivo pamoja na kuulizia lakini maelekezo...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Part 1( Corner stoner) Huwa inakuwa kawaida ya vijana wengi kwenye kitaa chetu kukutana na kujadili mambo mawili matatu. Katika hiki kijiwe cha kona nitakuwa ninawaletea stori zilizotokea hii...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Back
Top Bottom