Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;
1. Vampire...
Hii ngoma ni kali sana na nmeisikiliza bila kujua tafsiri yake kwa muda mrefu sasa,
Naona tu kina Boure mpela, Soleil wanga, fally ipupa, Bebe kero, Brigate sarbati, na Fally ipupa wakilalamika...
Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi.
Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu...
YAI
Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi.
Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae...
Kwani kwa Ukung'utaji wake wa Gitaa tamu na nilipendalo la Solo naona anataka Kuwatishia kabisa Amani Wapiga Solo HATARI wa Wenge Musica BCBG (yake JB Mpiana) aitwae Mitre Ficare Mwamba na Flam...
ASANTE
Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni.
Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu”
Tofauti na busu la mkewe...
SHETANI
Baada ya msoto wa muda mrefu,
Chuwa alifanikiwa kupata kazi.
Licha ya kazi hiyo kuwa na mshahara mkubwa na marupurupu yakutosha ila iliuweka rehani utu wa Chuwa kwa...
Nionyeshe tajiri ambae njia zake hazijaunga kwa shetani, Nikupe hii..... bure. Aliniambia huku kanikazia macho.
Muonekano wake haukuakisi uwezo wake hata kidogo. Shuka nayo...
NUKTA
Licha ya kuonywa mara kadhaa,
Chuwa hakuwa msikivu.
Aliendelea na tabia zake,japo alifahamu kuwa tabia hizo,zinamuumiza sana mkewe.
Siku moja,
Chuwa alifanya yake tena.
Aliporudi...
Salaam wakuu,
Habari za furahi day?
Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs.
Huwa...
Connie Chiume, a veteran South African actor who appeared in Marvel film Black Panther, has died at the age of 72, her family has announced.
The multi-award-winning actress starred in several...
Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela
Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela...
BIG 20
Hii ni project/movement iliyoanzishwa na media personalities pamoja na wadau wa Muziki jijini Mbeya lengo kuu ikiwa ni kuhakikisha kuwa Muziki na wanamuziki wa mkoa wa Mbeya wanapata jukwaa...
Wakuu habarii,
Kiukweli naomba nianze kukiri kuwa Mimi binafsi sio Mpenzi wa Tamthilia/Filamu za hapa nyumbani Almaarufu kwa Jina la Bongo Movie na hii inatokana na Tamthilia/Filamu zetu kuwa na...
Bado sijaona kama Twanga Pepeta kwa Tanzania hii na bado sijaona Muimbaji mzuri kama Charles Baba Kingunge.
Kitu kikipendwa na GENTAMYCINE jua hadi Malaika wa Mbinguni nao Wameshakipenda...