Muandaaji wa filamu nchini Somalia, Ahmed Farah amewamwaga waongozaji wa Tanzania baada ya kushinda Tuzo za Kimataifa za Filamu ‘ZIFF’ 2024 zilizotolewa leo Ngome Kongwe Zanzibar.
Ahmed kupitia...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
Hizi ngoma mbili kwangu binafsi nazipa siti ya mwanzo ya kuwa timeless club bangers.
Moja ni ya masista wawili Brick & Lace - Love is wicked
Na nyengine hii ya breezy -yeah 3x
* Tiririka...
Wakuu
Tofauti na mitandao mingine ya kijamii nimeweza kujifunza mambo kupitia story za kweli humu JF, kama story za
BM X6
INSIDER MAN
LWANDA MAGERE
Analyse
UMUGHAKA13
Lakini naamini JF ni mtandao...
Habari wanajamii, natafuta Cassette tape au Kanda za kwaya za zamani kama:
1. Tumaini Shangilieni kwaya - Arusha
2. Barabara ya 13 - Uliyankulu
3. Mtoni Evangelical choir - Lulu
4. Kwaya ya...
Inasemekana Langa alikuwa miongoni mwa "WACHOYO WA KOLABO" na hata ile NINAPOSIMAMA, Chid alimchana akiwa booth kwa Lamar na Dunga na kusema, sikubali, mtu gani unafanya ngoma mwenyewe tu, hii...
Wadau hamjamboni nyote?
Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki
Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba...
MTEULE
UTANGULIZI
Mfalme Efroni alikuwa mtawala wa nchi ya Nahori. Mfalme huyu alimuoa binti wa mfugaji aliyeitwa Raheli na kujaaliwa kupata watoto kumi na wawili. Wote wa kike. Aliipenda sana...
Kwenye pita pita zangu mtandaoni, Mjanja M1 nikakutana na post hii kutoka kwa 50 cent akiipigia chapuo Movie aliyoigiza na Mel Gibson.
Mjanja M1 nikawasha Smart Tv yangu na kui-play online...
RIWAYA; KAMANDA WA ZAMU.
NA; BAHATI K MWAMBA.
WHATSAPP; 0658564341.
1.
Alikuwa akitetemeka mwili na roho, jasho lilimmwagika hadi kwenye ncha za vidole vyake vya miguu na...
Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na...
Wakuu habar za jion
Kwa wale wapenzi series Kuna series inaitwa silo, hii series mm nimefanikiwa kuiona season 1. Hii series ni nzuri sana, Sasa nataka kufahamu Kama season ya 2 imetoka au la.
Nimesikitishwa sana na kitendo cha huyu msanii chipukizi anayefanya vizuri kwa sasa komredi Ali Kiba kutojua maana ya jina FALLEN ANGEL na linavyotumika. Hakuna namba yoyote unaweza kumwita binti...
Ferdinand Shayo, Manyara.
Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi yenye makao makuu yake Mjini Babati Mkoani Manyara ya Mati Super Brands Limited imesaini mkataba wa makubaliano ya kufanya kazi...
Habari za leo wakuu,
Yes, kwa wale wadau na wapenzi wa burudani nimeleta jambo hili mbele yenu muweze kunishika mkono au kunionesha njia, nashukuru Mungu nimezaliwa na vipaji mbalimbali lakini...
Husika na kichwa cha barua hapo juu..
Sorry ni kichwa cha habari hapo juu...
Natafuta movies hiyo pendwa inayoitwa grey's anatomy kuanzi series ya 3 mpaka 20 kwa ambaye atanifanyia mpango...
Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi.
Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini.
Wimbo
Bwana ndie mchungaji wangu mimi
Sitapungukiwa na kitu katika maisha...
Hii kama umeshasikiliza hii nyimbo vizuri, ni kama jamaa kaiba kwenye nyimbo zetu za zamani sana.
Sasa kila nikijaribu kuzivutia kumbukumbu hapa nashindwa kukumbuka zilikuwa ni nyimbo za nani na...
Najua Jamiiforums hakishindikani kitu.
Kuna wimbo mmoja alikuwa anaupenda sana kuusikiliza mpangaji wetu marehemu mmoja hivi mlevi mlevi.
Ni wimbo wa Kikongo jamaa analalamika sana nakusema neno...