Katika Makuzi, Ama ujana na wengine wenu Ni uzee kabisa mmekua ama timekua tukisikiliza nyimbo za muziki hasa kutoka Nchi ya Kidemokrasia ya Congo. Muziki huu umekua ni sehemu ya Burudani na...
Mimi labda ninatatizo ila kiukweli AY sijawahi kumuelewa kabisa. Tangu nimeanza kumsikiliza wayback hajawahi kutoa ngoma nikaielewa kabisa. Labda ile Yuleee, nampenda sana jinsi alivyooo.... nayo...
Mapumziko laini namsikiliza Fido Vato Ololoo ni bonge la album. Inasikitisha hata Generation zingine wamekua kama Gen Z hawataki tena mistari migumu. Uzi tayari.
Hawa ni madj waliojizoelea umaarufu mkubwa ukanda huu wa Africa mashariki kutokana na umahiri wao wa kutafsiri muvi mbalimbali iwe za kihindi, kichina na za kimarekani na nyinginezo ni DJ MARK wa...
1. BABY'S DAY OUT
Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake.
Bahati...
Hii ngoma iliyokutanisha manguli wa muziki wa Rap hapa Tanzania Kwa miaka hiyo kiukweli ilipikwa,ikasukwa na ikasukika ki kwelikweli!
Kiukweli ninayo Jeuri kusema ya kwamba "Kama Kuna mtu...
Ikiwa kesho ni Valentine's day nimeona niwaletee taarifa kuhusu mtajwa hapo juu alie zaliwa siku hiyo ya Valentine.
Joseph Kiambukuta Londa a.k.a Josky, Josky Kiambukuta, Djoe Sex, Le Commandant...
Wakuu nawasalimu hasa Wale wapenzi wa Rhumba wenzangu
Msanii Jolie Detta aliandika historia ya kuwa mwanamke wa Kwanza kurekodi wimbo katika band ya muziki maarufu tp okk jazz iliyokuwa chini ya...
Nyimbo inaitwa SISIKII ila sio ile yenyewe.
Hii kuna na sauti ya mdada, yaani Jux mwenyewe anaimba alafu na mdada anaimba pia nyimbo ni ileile ya Jux sisikii.
Sijui ndio mnasemaga cover sijui...
Muigizaji maarufu John Malkovic, ameigiza kama Nyota katika Movie inayoitwa 100 Years.
Imetengenezwa mwaka 2015 ambapo inatarajiwa kutoka November mwaka 2115. Kwajina lingine movie hii...
Kichwa hapo juu chahusika, nina mdogo wangu ana kipaji cha uimbaji yupo shuleni.
Mwanzo sikujua kuwa anajihusisha na muziki kwani amekuwa ni mcheza mpira mzuri sana hasa upande wa golikipa...
Tujikumbushe movie za Kihindi zilizotubamba enzi hizo. Aishwarya Rai, she is called the most beautiful woman in the world
WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMISHWA FILAMU HIZI
Habari ya weekend...
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya, yangekuwaje sasa
Utumwa wa...
Kama kichwa kinavyosema, nimeukumbuka huo mstari ila nimesahau ulikuwa kwenye wimbo gani na wa msanii gani. Ni wimbo wa bongo fleva wa enzi zile za golden age of Bongo Fleva kabla ya zama za...
Habarini wakuu,
Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa.
"Unadhani niwapeke ako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea...
Tamthilia ya Lupin ni tamthilia ya uhalifu ya Ufaransa iliyotengenezwa na George Kay na François Uzan. Ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Netflix mnamo Januari 8, 2021. Tamthilia hiyo...
Matatizo: Harmonize
2016
Haiyee aaah!
Olelelelee
Alfajiri imefika
Anga inang'aa
Mvua inaanza katika
Ghafla tumbo la njaa
Naweka sauti kwa spika
Nipate umbea wa dar
Mara simu inaita
Jina la anko...
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.