BLACK WA USWAZI .
_____________________
Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu...
Martin Andrew Kadinda ni mbunifu wa mitindo kutoka Tanzania anayejulikana kwa umaarufu wa kuwa mmoja wa wabunifu wa mavazi na mitindo mbalimbali nchini.
Amewahi kuonyesha kazi zake katika Wiki...
KUACHA KAZI
Baada ya kutoka Burma, siku moja, Utubora alisimama katika ofisi mbele ya tajiri wake kumwambia kuwa alitaka kuacha kazi. Kazi yake ilikuwa ukarani katika ofisi kubwa ya biashara ya...
Katika kuonyesha heshima Kwa mkoa wa Tanga, kutoa Mawaziri 4 (Makamba, Mwana FA, Ummy na Aweso) basi inafaa Ngoma ya Mdumange ipewe heshima ya kuwa mdundo wa Uzalendo. Asante
Dr King (M.L.King Jr) alishawahi nukuliwa akisema “ Not everyone can be FAMOUS , but everyone can be GREAT. Japo hotuba yake ilikuwa yenye mlengo wa kisiasa, lakini kupitia nukuu hii alikuwa...
Habari za jioni Wadau.
Katika mtandao wa YouTube, video nyingi huwa na cover ya picha ambayo inabeba maudhui yaliyomo katika video husika.
Lakni kwa hapa kwetu Tanzania, hawa jamaa hawapoi kwa...
Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana.
Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America...
Habari wakuu,
We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii.
1. Saladini
2. Jumba la...
Nimepata kutazama mahojiano ya Sylvester Stallone na mtandao wa Vulture na kuona akidai kuwa walipokuwa wakirekodi filamu ya Rocky IV, toleo la nne basi alikutana na majanga nusu kupoteza maisha...
Kama hujawahi kuicheki hii movie itafute weekend hii uburudike. Ni jamaa na kaka zake anaamua kwenda mji fulani kujitafuta. Mji wenyewe umejaa wahalifu watupu.
Iyeee Ive been crying to love
Miaka ya juzijuzi Uliomba kura zangu
ahadi nazo ulizimimina
Elimu bora
Afya bora
Barabara nzuri
Ajira nje nje
Hivi leo sioni mabadiliko
Hali imekuwa ngumu
Nawe...
Hii ni sehemu ya nyimbo ninazozikubali hadi leo.
Ni nyimbo ipi ipo kwenye hii playlist unaikubali, na kama haipo unaweza kuiweka hapa ili wadau tuione pia.
MY PLAYLIST SONGS
01...
Kuna braza mmoja ni mwanamziki ila yeye anatumia gitaa lake la asili katengeneza Kwa kutumia fimbo, waya na kikopo ila ukisikiliza sound yake ni quality sana.
Jamaa huwa anajitolea kuburudisha...
Tuzo za BET zilianzishwa mwaka 2001 na mtandao wa Black Entertainment Television, zikilenga kusherehekea mafanikio ya wasanii weusi na watu wa makundi mengine ya wachache katika muziki, filamu...
Kitu Kimoja Ambacho Mashabiki Wa Muziki Mnapaswa Kujua Ni Kwamba Diamond Ni Msanii Mkubwa Afrika Na Anaweza Kufanya Show Nchi Yoyote Ndani Ya Afrika Na Watu Wakajaa, Lakini Inapokuja Kwenye Soko...
Enzi hizo tulikua tunamchukulia Van Damme kama muungwana fulani hivi tukawa tuna wachukia kweli waliokua wanamsumbua 😂..... especially Bolo Yang na Chi Tompo
Sema jamaa alikua hatoi msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.