Kwangu mimi hizi ndo series bora kuwahi kuangalia
1.VIKINGS
2.GAME OF THRONE
3.SEE
4.SIX FLYING DRAGONS
5.FROM
6.INTO THE BADLANDS
7.PEAKY BLINDERS
8.HALO
9.SQUID GAME
10.IRIS
11.ILJIMAE
Kama...
PICHA DIRECTOR NICK NA MAKAMU II WA RAIS WA ZANZIBAR.
Mwanahabari na muongozaji wa video Nickson Sawe maarufu kama Director Nick akiwa huko visiwani Zanzibar amekutana na kupiga picha ya pamoja...
Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi?
Kwa wale...
Habari za Jumapili wadau, naomba mwenye wimbo jina lake unaitwa NITUME MIMI BWANA kuna mapadre sijui ndo wameimba, ila ni wanaume pekee ndo wameuimba,
Mwenye nae auweke tu hapa niuchukue maana...
Oppenheimer ni movie yenye story Nzuri sana ila wengi wanaiona complicated, au niseme boring, kwa wale ambao hawana uelewa sana na mambo ya physics.
Hapa nimejaribu kuielezea kwa nilivyoielewa...
Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake huu mwaka mtaniita boss
Rayvanny
Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake mtaniita boss
Huu mwaka ee wa faida sio loss...
Ilikuwa Jumamosi asubuhi na jua lilikuwa linawaka vizuri. Majirani wa mtaa wa Mjini Ndani walikuwa wanapanga mipango ya weekend yao. Lakini kijana mmoja, anayeitwa Toto, alikuwa na plan ya kipekee...
Filamu nyingi zimetukaririsha kuwa staa akiwa kwenye changamoto basi mwisho wa picha atafanikiwa kukabiliana na changomoto zake wanaita mwisho mzuri(happy ending). Kwenye filamu ya BURIED sahau...
Ni suala lililo wazi kuwa msanii Diamond Platnumz ndiye msanii anayeiwakilisha muziki wa Bongo Fleva kimataifa ambapo kupitia nyimbo zake Diamond ameweza kupenya na kujulikana katika mataifa...
"Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke...
nani amewahi kuona hii series ya superior day ya kikorea inatisha na ni nzuri ya kijana muuaji mchoraji anaua mtu alafu anamchora kwa kutumia damu jinsi alivyomkatakata movie nzuri japo inaogofya...
I
Karatasi ya thamani ni pesa vyeti ni uchafu chochote utakacho pesa kwanza
Silali kitandani nakesha kuziseti chafu tatu popote niendapo pesa kwanza
“Babu hilo goma linanitia stimu yaani siku...
Msanii wa Bongo Fleva, Sarah Michael Kitinga "Phina" aliimba ujumbe huu kupitia Wimbo wa "Sisi Ni Wale" aliouweka kwenye Chaneli yake ya YouTube, Desemba 29, 2023 na hadi Novemba 28, 2024...
Mfahamu Mzee Small.
Said Wangamba (Mzee Small) alizaliwa 1955 mkoani Lindi. Na baadae alihamia Dar mwaka 1970 ambapo alipata umaarufu kupitia uchekeshaji na uigizaji.
Alipewa jina la utani la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.