Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

1. Millard Ayo - Clouds FM 2. Jamal April - Wasafi TV 3. Nelson Kisanga - Wasafi FM 4. Tido Mhando - Azam TV 5. Reuben Ndege - Clouds Media 6. Maulid Kitenge - Wasafi FM Utafiti huu umeangalia...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William. Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza...
17 Reactions
115 Replies
18K Views
1&2 Utangulizi 3. Wahusika 4. Mfalme Rai
1 Reactions
3 Replies
332 Views
Salamu Wajumbe. Kuna muvi ya Kiswahili niliwahi kuitazama miaka ya 2009/10 ya vijana wawili, mmoja wa kike mmoja wa kiume ambao walikuwa wanaishi msituni na wazazi wao ambao walifukuzwa kwa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari Wadau, Ni nadra sana kwa mtu kuwa bilionea, hasa akiwa na umri mdogo. Hii ni orodha ya mabilionea vijana ambao wametajwa na Jarida la Forbes kwa mwaka 2024, kuwa matajiri wadogo zaidi...
2 Reactions
10 Replies
452 Views
𝙒𝙄𝙈𝘽𝙊: MARIO 𝙈𝙒𝙄𝙈𝘽𝘼𝙅𝙄: MADILU & FRANCO 𝙏𝘼𝙁𝙎𝙄𝙍𝙄: SULE MKANDARASI 𝙈𝙖𝙧𝙞𝙤 𝙣𝙞 𝙟𝙞𝙣𝙖 𝙡𝙖 𝙠𝙞𝙟𝙖𝙣𝙖 𝙖𝙣𝙖𝙮𝙚𝙥𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙪𝙡𝙚𝙡𝙚𝙬𝙖 /𝙠𝙪𝙞𝙣𝙜𝙞𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙢𝙖𝙝𝙪𝙨𝙞𝙖𝙣𝙤 𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙬𝙖𝙠𝙚 𝙬𝙖𝙡𝙞𝙤𝙢𝙯𝙞𝙙𝙞 𝙪𝙢𝙧𝙞. 𝙆𝙬𝙖 𝙣𝙮𝙖𝙠𝙖𝙩𝙞 𝙝𝙞𝙯𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙝𝙖𝙥𝙖...
4 Reactions
7 Replies
579 Views
Habari za asubuhi wanajukwaa. Mimi nimpenzi wa kusoma story,Naombeni msaada kwenu natafuta story ya kusoma humu JF weekend hii. kiufupi sina appointment yoyote na nilitegemea waandishi wangu...
7 Reactions
106 Replies
9K Views
Habari zenu wana wa JF Jmn hii ngoma napenda sana but siijui jina lake Mnisaidie jmn jina yake
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Kama unaijua hii movie jina lake please itaje..
2 Reactions
4 Replies
549 Views
KAMBI YA NDALA. MWANGAZA hafifu wa mapambambazuko uliwafanya Luten Dennis Raymond Makete na wenzeke waonekane kama vivuli.Walikuwa katikati ya msitu wa Ndala wakienda mbio za mchakamchaka...
12 Reactions
431 Replies
162K Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA Matangazo yalikuwa yamebandikwa kila kona ndani ya Jiji la Dar es Salaam yaliyokuwa yakihusu ujio...
5 Reactions
27 Replies
19K Views
Asasnte kwa kufungua uzi huu. Mimi binafsi, napenda comedy na nafanya comedy pia (stand up comedy). Japo sijafika stage kubwa mpaka watz wakanijua. Lakini huwa naona stand up comedians kadhaa...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
B HITS ILITUBARIKI VYA KUTOSHA Hermy B alikuwa akifanya kazi redioni lakini akawa anajiiba humohumo baada ya vipindi kuisha na kurekodi kazi binafsi mpaka aliposimamisha studio yake na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu. Mwanzoni nilikuwa...
2 Reactions
72 Replies
15K Views
Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao 1. Diamond 2. Harmonize 3. Alikiba 4. Darasa Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
3 Reactions
6 Replies
597 Views
Wapo waliofukuzwa kazi/ wapo walioshushwa ngazi/vinatia uchungu/ ridandansi hizi za majungu ridandansi.
1 Reactions
2 Replies
280 Views
wapendwa, kama mtakumbuka wiki mbili nyuma Bujibuji alileta thread HII na mimi nkajitafhidi kufukuakufua nikaupata huo wimbo HAPA. sasa nimempigia simu rafiki yangu mmoja akaniambia walipata...
3 Reactions
27 Replies
20K Views
Funguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
2 Reactions
28 Replies
937 Views
Kwa nchi kama India, Korea, na Marekani, sanaa imekuwa ni moja wapo ya kazi inayoongeza uchumi kwa taifa. Kwa mfano, Korea wako vizuri kwa kuonyesha utamaduni wao na hata kuonyesha historia...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Baada ya kushinda alitakiwa awasiliane na washiriki wa nyuma ili kupata maoni yao kuhusiana na mashindano hayo. Angeweza kuwatafuta mmoja mmoja au kuwaita wote kwa kikao ili akakusanya maoni ya...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom