Katika baa moja nchini Marekani aliingia mwanamme mmoja MZUNGU na kukuta bar ina watu wengi sana na imejaa WAZUNGU TUPU kasoro mmama mmoja ambaye alikuwa BLACK..yule jamaa baada ya kuingia akasema...
Muvi hii ni ya kiswahili niliiangalia muda mrefu sio bongo muvi ni zile muvi nadhani zinafadhiliwa na wahisani.nakumbuka sehemu chache sana kwenye hiyo muvi.kuna watoto wawili wa kike na wa kiume...
Sehemu ya Tatu: Mtihani wa Mapenzi
Baada ya harusi yao ya kifahari na sherehe za furaha, Musa na Amani walijitosa katika maisha mapya kama wanandoa. Waliendelea kuimarisha uhusiano wao, wakifanya...
Mdororo au anguko la HopHop Tz!?
Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu".
Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo...
Sehemu ya Kwanza: Mkutano wa Hatima
Kulikuwa na mji mkubwa uliokuwa ukijulikana kwa jina la Mji wa Furaha. Katika mji huu, tamaduni na mila mbalimbali zilijumuika na kufanya maisha kuwa na mvuto...
Angalia SOUL (NAFSI) cartoon iliyowekwa maneno ya kiswahili na DJ MACK.
Hii kwangu imekuwa kama tiba na kunifanya nijione mwenye thamani katika hii dunia.
Kabla nilijuona ni mtu nisiye na...
Mfahamu Carlos Ray 'Chuck' Norris alizaliwa Machi 10, 1940 ni msanii wa michezo ya mapigano wa Marekani na mwigizaji wa filamu.
Alitumikia katika Jeshi la anga la Marekani. Alikuwa maarufu kama...
SURA YA KWANZA
Sakarati mauti ya Kapteni Wandawanda Jijini London, Uingereza
Marafiki, ndugu na jamaa wa karibu wa Kapteni mstaafu Wandawanda wakiwa wamegubikwa na nyuso za huzuni, walionekana...
SASHA MLINZI WA NAFSI.
Sehemu ya............1-2
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI...
Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya...
Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubari zaidi
1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders ...
SIMULIZI: ELIZA NA NDOA YANGU
SEHEMU YA KWANZA (01)
middotz +255 655 969 973
Ilikua 2012 nilipata kumaliza kidato cha 4. Nilijijua kuwa nitafeli tu kutokana na sababu ambazo ndugu na mama yangu...
Ama hakika kwa Wimbo huu na hasa ulivyo Mtamu na unavyochangamsha hata Kuucheza JB Mpiana kaamu kufanya Kweli. Unaambiwa sasa iwe ni Congo DR au Congo Brazaville au Angola au Cameroon au Zambia au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.