Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni...
16 Reactions
60 Replies
6K Views
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si...
20 Reactions
61 Replies
4K Views
Wadau wa music waliokaribu na wasanii hawa washawishini wafanye collabo naamin itakuwa furaha kwangu na kwenu pia Joh makin ft fid q Fid q ft mwana fa Weusi ft tamaduni music Nikki wa pili ft...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku hizi kuna tabia imeanzishwa wasanii wanasema wamenunua magari Ila wakitembea nayo hayawekwi plate no wasanii ukiwafuata Maisha Yao watakupoteza.
3 Reactions
12 Replies
687 Views
Najiuliza maana ya upendo nini? Mpaka uwe na kingi ndio ushee? Au pesa kipindi michango ya sherehe? Au mzazi anayetamani mtoto uendelee? Ndio maana anakulea ile umlee Inasadikika kuwa upendo wa...
0 Reactions
18 Replies
497 Views
Mimi naikubali hii Pig Black ft Ay - Mtoto wa mjini
5 Reactions
417 Replies
50K Views
Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide. Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza...
1 Reactions
3 Replies
444 Views
Ndio kwanza nipo Episode ya 5 kati ya 10. Ila hii series kali. Kupewa rate ya 8.7/10 haki yake.
1 Reactions
8 Replies
532 Views
1: Sos B - Kukuru kakara. sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania. 2: Picko - Kikongwe 3: JI -Kidato kimoja 4...
5 Reactions
88 Replies
3K Views
Habari ya mda huu mkuu, uzi huu ni maalumu kwa wote wanaopenda muziki. Kama unapenda kwaya hapa ni mahali pako tupe wanamuziki wa kwaya unaowakubali tukapakue miziki yao tupate zile ala za...
1 Reactions
3 Replies
512 Views
Simulizi hii imeandikwa na Nyemo Chilongani 0718069269 SEHEMU YA 01. “Mume wangu kila siku unarudi usiku tu, mwisho vibaka wakuvamie wakupore hiyo simu yako,” alisema mwanamke mmoja aliyekuwa...
10 Reactions
30 Replies
19K Views
Mwanamuziki wa hip hop Fat Joe ametunukiwa PhD ya heshima na Chuo cha Lehman kilichopo nchini Marekani. Fat Joe ameshukuru sana kwa kupewa heshima hiyo na kusema haikuwa rahisi kufika alipo...
3 Reactions
2 Replies
298 Views
Mimi nataka kuanzisha kipindi cha tv show kwenye TV za Tanzania. Ila sijui mikataba ya vipindi Tanzania Ina kuwa je. Show hiyo itakuwa ni ya kusafiri kila nchi. Ila kwa kuanzia naanza kusafiri...
0 Reactions
8 Replies
416 Views
Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubali zaidi 1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders . 2...
2 Reactions
18 Replies
482 Views
Wakuu nasikia Mwijaku kashaikimbia Clouds Media Group na kashasaini Crown Media. Hivi huko kwa ndugu yetu Ally Kiba kuna nini cha ziada au teseme katenga mishahara minono kwa hawa watangazaji...
0 Reactions
5 Replies
987 Views
Kosa langu nini ni Vannesa? Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa? Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
7 Reactions
137 Replies
5K Views
Ep 01 Naitwa Sabrina ni mzaliwa wa bukoba kabila langu n mchanganyiko wa kihaya na kirwanda yn baba yngu akiwa mhaya na mama yngu mrwanda kabisa, nilisoma elimu ya primary na kufaulu kuingia...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Weekend hii iliyopita ilienda vizuri sana sikutegemea mana sikua na mtoko wowote ule, basi nikasema hii weekend ni ya kuchill home nakaona haitakua vyema bila ya kusindikiza na movies, aisee...
3 Reactions
2 Replies
538 Views
Katika maeneo yote duniani, kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa nyuma ya wahusika wakuu wa tasnia fulani na kuwa nguo kubwa ya mafanikio. Hawa kwa lugha ya Kiingereza wanaitwa 'masterminders'. Ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom