Watanzania ni watu wazarendo sana kwa vitu vilivyo vya kwao! Lakini inafikia mahali wawasilishaji wanaviwasiliaha kimakosa!
Uwanja pekee ambao kwa sasa umefifia na uko karibu kufa ni katika...
BEFORE I GO TO SLEEP.
Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua.
Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani...
Rapa Na Mfanyabiashara kutoka Marekani Sean “Diddy” Anadaiwa kuwa hatopokea Mualiko Wa kuhudhuria katika Onesho Kubwa La Mavazi Na Mitindo linalofahamika Kama "Met Gala"
Taarifa hizi ni baada ya...
SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU)
Episode-1
Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa...
Umofia kwenu bandugu wote kwenye hiki kilinge chetu cha kujidai. Nina ombi kwenu wadau.
Nina mpango wa kuandaa tamasha la stand up comedy huku mkoa ninaoishi, nimeiona hiyo fursa naamini nitapiga...
Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua.
Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita...
Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake...
Wakuu hongera kwa wikiendi ya leo glories and praise to the LORD:
Wakuu kuna jambo linanitatiza kitambo kidogo na sijawahi kuona kama limewahiletwa mezani kujadiliwa,ama mara nyingi mitaani ndio...
Aisee kuna hii nyimbo inaitwa; “Sasa ni lunch time tufunge makazi,” nikiisikia lazima nipate hamu ya kula!
Plus kuna nyimbo za marehemu;
Siri ya nini
Sarafina
Kachichi
Hizi nyimbo hazinitoki.
Dogo namuona ni Hatari sana na ndiyo Animateur ( Rapa / Mghani / Atalaku ) ambaye namuona anakuja kuwa Tishio kwa Atalaku bora kwa sasa Congo DR Pitshou Lisimo ( GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ) wa...
Franco ambaye alizaliwa Tarehe 6 Julai, 1938, katika Kijiji cha Sona Bata Magharibi ya Kongo, atakumbukwa na watanzania wakati alipofanya onyesho kweye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam mwaka...
Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa:
1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA'...
Wacha niwaorodheshee Top 15 ya ngoma pendwa duniani
1. Despacito ya Luis Fonsi na Daddy Yankee yenye watazamaji 8,441,831,151846,384 YouTube
2. See You Again ya Wiz Khalifa na Charlie Puth yenye...
Hii ni miongoni mwa hadithi moja tamu sana.
Ni ndani ya kijitabu kidogo chenye mvuto wa aina yake.
Kilichochapwa 2007.
APUL AENDA NAIROBI I
Ilikuwa ikimuelezea kijana mmoja ambaye...
Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor.....
Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭
The red wedding 💔
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.