1. NEW VIDEO | Nay Wa Mitego - Wapo | DOWNLOAD Mp4 Song
2. NEW AUDIO | Mesen Selekta - Chata | DOWNLOAD Mp3 Song
3. NEW VIDEO | Mesen Selekta - Chata | DOWNLOAD Mp4 Song
4.AUDIO | Stamina Ft...
Nakumbuka siku nilifungua ofisi moja ya kurusha miziki ,nilienda kwa mama mmoja anitayalishie dawa ya kuleta wateja wengi waje niwachomee miziki na movie.
Alinipa dawa nne mfano wa irizi ya kwanza...
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam
19: FA - Bado Nipo Nipo
18: Fid Q - Propaganda
17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio
16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee
15: AY - Raha Tu
14: Professor J -...
Stori: Innocent Killer (The Revenge)
Msimuliaji: Bux the story teller
Umri: 18+
Sehemu ya Kwanza:
NB: Hadithi hii ni ya kubuni na kufikirika haihusiani na maisha ya mtu yeyote, wala taasisi...
Simulizi hii inahusu utafutwaji wa NYARAKA namba 72 waweza kuiita DOCUMENT namba 72 ambayo ina siri nzito sana ndani yake.
DOCUMENT hiyo inadaiwa kuwa na majina ya watu ambao wanatakiwa...
Kama wewe ni mpenzi wa simulizi kali sana za kijasusi na kipelelezi, kama unapenda simulizi zinazohusu michezo ya siasa na namna watu wanavyo iishi siasa kikatili.
Kama wewe ni mpenzi wa simulizi...
Kuna wakati unaweza kusoma kitu ukabaki unajiuliza mambo mengi sana juu ya mwandishi wa kitu hicho. Aliwaza nini,alipata wapi hii stori,ana akili yenye uwezo gani hadi kuandika kitu hiki. Basi...
Katika kusoma soma riwaya za kisasa zaidi za karne hii nimetambua kuna waandishi wazuri na wenye hadithi tamu wanafanana namna ya kuandika simulizi zao, maudhui yote kwa ujumla.
Kuna George Iron...
Mwalimu mstaafu Eloise Parker anaishi peke yake huko Massachusetts, lakini ana mpangaji katika boma lake, Adam Clay, anayeishi maisha ya utulivu kama mfugaji nyuki. Siku moja, Eloise anaangukia...
Habari za kazi wakuu
Kama kichwa kinavyosema, nisizunguke saana, mimi nimesoma stori nyingi tu za humu hasa zile TRUE STORY za baadhi ya member wenzetu.
Je, kutoka katika stori hizo ulitamani...
Kaminsheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC limesitisha pambano la ngumi baina ya bondia Mtanzania Hassani Mwakinyo dhidi Pactick Allotey kutoka Ghana kutokana na promota kushindwa kukidhi...
Utangulizi
Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo…
Nasogea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa album ya Harmonize leo tarehe 25 Mei, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City...
Mamlaka Kusini mwa California Alhamisi ilimkamata mwimbaji Sean Kingston, ambaye jina lake halisi ni Kisean Anderson, kwa makosa mengi ya ulaghai na wizi kwa hati ya kutoka Florida. Kukamatwa...
Mwimbaji nyota wa FM Academia, Malu Stonch amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla jukwaani.
Hali hiyo imetokea katika ukumbi wa Target Mbezi, Beach, Jumamosi usiku wakati mwimbaji huyo akiwa...
Wakuu wa sanaa na burudani habari!
Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila...
Wakuu shwari!!
Ya kale ni dhahabu hii haipingwi wazee.
Iko wazi kama mbuzi .
Nyimbo za zamani hazijawahi kuchuja Wala kupoteza mvuto wake!
Hii ni kwasababu watunzi wa kipindi hicho walitumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.