Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Series inahusu mji mdogo ambao ukijichanganya tu kuingia unashindwa kutoka yaani unakua umekwama na huwezi kuondoka kwa namna yoyote. Na balaa zaidi ni usiku kuna viumbr wanakuja, haitakiwi...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari, Mwenye kufahamu tafadhali. Sehemu ambayo kuna michezo ya watoto Kigamboni. Asante.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda)...
14 Reactions
42 Replies
3K Views
Bado sijawahi kuona mapigano hatari kw series zote zaidi ya hawa wawili.
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Ahsanteni https://youtu.be/v6Zw5duTJeA?si=ZCzpze04z1gcx-T-
1 Reactions
1 Replies
224 Views
Mashujaa wetu wanazeeka! 😢 Yupi kati ya hawa alikuwa muigizaji bora kwako?
6 Reactions
58 Replies
2K Views
Nyimbo ya kwa ni ya DEO MWANAMBILIMBI INAITWA MKE NI NDUGU AU RAFIKI nyimbo ya pili , HII NYIMBO NI YA BUSHOKE INAIMBWA HIVI WATU WENGI WALISEMA HUYU MSICHANA NI MTU ANAEMILIKIWA NA MTU MWENYE...
0 Reactions
2 Replies
326 Views
Wahenga wenzangu, Nipo nasikiliza hizi ngoma mbili 'Kama Unataka Dem' ya JayMo na 'Mabinti' ya Mwanafalsafa. Hizi ngoma kwa pamoja zilisumbua sana miaka ya 2001/2002 kwenye charts mbalimbali za...
2 Reactions
79 Replies
12K Views
Jina lake halisi ni Fatuma Binti Baraka, inakadiriwa kua alizaliwa mnamo mwaka 1910 huko Unguja. Alikiri kujifunza muziki kwa mwanamuziki wa zamani maarufu kama Sitti binti Saad. Mbali na kuimba...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Bila shaka mmewahi kuusikia Wimbo wa 'Nina siri na Yesu', ukiimbwa na mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Rwanda mwenye asili ya Congo, Israel Mbonyi. Sasa siku kadhaa...
5 Reactions
8 Replies
5K Views
Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba...
0 Reactions
18 Replies
920 Views
Gere unanionea mie nakunifanya hasidi, kwakuwa unatambu kazi yangu jukwaani, hata hivyo nyuma, sitarejea, wajifanya wajua, jua linakuwakia. Naomba mwenye link ya huu wimbo ama anae mfahamu msanii...
1 Reactions
18 Replies
801 Views
Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA) Au redio Tanzania daresalaam (RTD) Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko. Mara...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana. Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mimi ni mpenzi wa mziki na kabla mambo yangu ya kiuchumi hayajayumba nilikuwa namiliki HK ONYX STUDIO 7 bahati mbaya ilikuja kuungua. Sasa kutokana na uchumi wangu kuwa bahati nasibu...
0 Reactions
3 Replies
449 Views
Amrish Puri, Mwamba Alisumbua Sana Kwenye Filamu Za Kihindi Na Sidhani Kama Kuna Muigizaji Atakuja Kuigiza Vizuri Nafasi Ya Adui Kama Huyu Mzee. Filamu Gani Unaikubali Ambayo Aliigiza Amrish Puri?
2 Reactions
2 Replies
255 Views
[Verse 1 – Professor Jay] Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika Na kwa wote mliopo juu na chini sauti...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Napenda sana kusoma vitabu, hali hii imenifanya nipende kuandika visa kadhaa ambavyo huwa ni vya kweli, Sina visa vya kutunga.simulizi zote zina ukweli kwa asilimia nyingi.lakini pia...
21 Reactions
648 Replies
115K Views
Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom