Kwa wale watumiaji wa tiktok nilikuwa naomba kuuuliza swali, upande wa kutoa mafaranga yako kwa upande wa Tanzania [emoji1241] unatumia account ipi?
Maana nimejaribu kutumia PayPal lakni...
Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa
Naombeni mnitajie Anime kali hasa za wajapan ikiwezekana mnisaidie na download link zake
Anime ambazo nimeangalia
1-HunterxHunter
2-Naruto(bado naendelea)
Hakika Producer na Director wa Tamthilia ya HUBA asione AIBU kukatisha Matangazo yake DSTV Maisha Magic BONGO. Yanayoendelea hayaeleweki ili mradi kipindi kipo hewani. Hebu Fikiria Dakika 10...
Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban.
A very catchy...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu hasa wale wapenzi wa zamani wa muziki wa dansi kujiita wachambuzi wa muziki hadi kufikia kuwashawishi wamiliki au viongozi wa Redio hasa zile za binafsi kuwaajiri...
Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy.
Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani.
Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na jambo...
hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania
(1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu...
Baada ya sherehe za kuapishwa kwa awamu ya pili na kutangaza baraza jipya la mawaziri, siku mbili baada ya hapo na mikutano kedekede niliendelea kupitia kabrasha kutoka kwa wakuu wa usalama...
Haiwezekani kwamba Azam TV kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa Azam TV burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu.
Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa...
1. Hakuna Msaniii yoyote mkubwa wa Congo DR kuanzia kwa JB Mpiana, Koffi Olomide, Werrason, Felix Wazekwa, Roga Roga na Bendi yake ya Extra Musica, Fally Ipupa na Ferre Gola utamuita aje nchini...
Unajua me mtu wa vibe maisha na mziki muda wote sasa mimi Sina kipaji cha kucheza najua kwaito tu sasa wasouth kila siku wanaleta style mpya.
Kuna hii ya amapiano ya tshwala bami una shake tu...
Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio
Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
1. Kraven the Hunter
2. Deadpool 3
3. Gladiator 2
4. The Lord of the Rings: The War of the Rohirrim
5. Godzilla x Kong: The New Empire
6. Dune: Part Two
7. Madame Web
8.Joker: Folie à Deux
9...
Rejea kichwa hii thread itazungumzia vituko(kasoro za uigizaji) vinavyopatikana katika filamu za kibongo ili kuweza kutambua makosa yao na kuboresha zaidi. Ukiweka na picha itapendeza zaid na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.