Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Night of scary: USIKU WA KUTISHA hi stoly nimetunga kwa umalidadi na ufasaha kabisa ni uzuni kidogo Ukuapo maijila ya saa 7 usiku mkoa shinyanga kijijin cha tambukareli kulikua na familia moja ya...
0 Reactions
8 Replies
579 Views
Kwa wapenzi wa hiphop hivi mmepata na nafasi ya kusikiliza hii nyimbo mpya dizasta vina hatia V aisee kuna ubunifu mkubwa umetumika sana humo hata akifa leo nyimbo zake zitasikilzwa milele jamaa...
5 Reactions
54 Replies
5K Views
KWANZA UNIT CREW - MSAFIRI.. Ubeti1 Hii Ndo Picha Kabla Pazia la Udongo Ndani Futi sita/ Vita, Kila Watu 9 Kati ya 10 Dhidi ya Hali duni/ Naelekea Nchi ya Ughaibuni/ Nimezunguukwa na Dhoruba/...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni kwamba natafuta sinema ambazo zinahuzunisha kiasi cha kumtoa mtu machozi. Nawasilisha.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi. Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination"...
5 Reactions
116 Replies
15K Views
Pengine atakua kaambiwa na majirani wa kijiji hichi.. akijisema maneno hayo justin Orenda,”sawa kijana wangu ukiwa na uhitaji wowote usi sisite kuniambia Justin. Sawa mzee wangu una una itwa...
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni...
48 Reactions
371 Replies
40K Views
Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora...
4 Reactions
104 Replies
9K Views
Muziki wa Tanzania una wanamuziki wenye uwezo mkubwa lakini muziki wetu hauendelei mbele kwenye mataifa mengine kwa sabau hakuna ushirikiano baina ya wasanii. Naamini wasanii wa kishirikiana...
1 Reactions
10 Replies
967 Views
Utafanya nini kama umefiwa, umeupeleka mwili wa mpendwa wako kuhifadhiwa alafu unapigiwa simu kwamba mwili hauonekani? Umepotea? Haujulikani ulipo? Tafuta popcorn, ambaa na kisa hiki.. Baada ya...
11 Reactions
59 Replies
3K Views
Hii ngoma Rayvany ametuonyesha unafiki upo mwingi sana kwenye mapenzi ya kisasa. [emoji444]Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi,na kukupamba kwenye simu.[emoji23][emoji445] Wanaume huwa tunakamatwa...
2 Reactions
9 Replies
565 Views
Leo kwa heshima kubwa naomba nikupe simulizi ya ndugu watatu kutoka Uingereza ambao walitupatia vionjo matata sana katika nyimbo zao, ni kaka watatu ambao ukiwatazama utaona ni kama hawafahamu...
0 Reactions
1 Replies
476 Views
K-Lyinn Noorah Aha CHORUS Kama ni penzi labda utapata ukimwacha (niambie nani huyo?) Maybe chochote utapa unachokitaka (ndio nachotaka hicho) Nasema penzi labda utapa ukimwacha (niambie basi nani...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Simulizi; MLANGO WA 77 "DOOR 77" Mtunzi; Robert Heriel Taikon Publishers 0693322300 EPISODE 01. Mvumo wa sauti za chura uliendelea kuvuma kama kwaya ya Akapella huku masalia ya matone ya mvua...
6 Reactions
38 Replies
27K Views
Ngoma imeachiwa jana iko katika platforms isikilize baadhi ya mistari nimeikubali anakwambia Boss hana neno ila wapambe wana nguvu Moyo una amani karume and my soul is free Nawapoteza fasta kama...
4 Reactions
7 Replies
856 Views
P diddy alikuwa ana marafiki wengi sana ambao alikuwa nao au alionekana nao kwenye party ambazo alikuwa akiziandaa kwenye nyumba zake za kifahari. Wengine alikuwa nao karibu sana mfano Jay Z...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
MWANGWI wa vilio na simanzi kutoka kwa watu waliopoteza maisha baada ya meli kuzama kwenye mkondo wa bahari wa Nungwi, Zanzibar, uliambaa kwenye maji na kwenda kugota kwenye ukuta wa chini ya...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
| Origin and Workflow Electro Dance Music ni muziki unaochakatwa Kidigitali ukitegemea mfumo wa kimekanika "Mechanical". Muziki huu utayarishwa kwa kutumia Digital Audio Workstation, MIDI, Power...
8 Reactions
91 Replies
8K Views
Back
Top Bottom