Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Wakuu hivi karibuni natarajia 'kumuozesha dada', naombeni mnisaidie mikwaju ya kisasa itayoleta vibe la kutosha ukumbini niiwasilishe kwa Dj. Ahsante!
1 Reactions
9 Replies
556 Views
Heshima kwenu wakuu. Samahani wakuu, naomba msaada namna ya kuipata hadithi au mwandishi wa hadithi fulani iliyopata kuchapishwa hapa jukwaani. Hadithi hii nilipata kusoma hapa jukwaani hapo...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Sana sana nahitaji Da Cor do Pecado /Shades of sin. Mwenye anajua namna ya kuipata hii mtandaoni, hata kwa kulipia 🙏🏻🙏🏻
1 Reactions
10 Replies
408 Views
Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza. Sifa ya Playlist Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi...
7 Reactions
49 Replies
1K Views
Kwa wapenzi wa series napata wap vibanda au series za hivi za black america ambazo hazijatafsiriwa Kudownload n gharama bando angalizo: vibanda vingi vipo na za kutafsiriwa za kihindi na...
3 Reactions
12 Replies
648 Views
Habari zenu wakuu, Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita, gwiji wa muziki wa Dansi nchini Tanzania, Shaaban Ally Mhoja Kishiwa maarufu kama Tx Moshi William alitutoka ghafla na kuacha pengo kubwa...
4 Reactions
28 Replies
10K Views
Niende kwenye moja kwa moj kwenye mada binafsi sio mpenzi sana wa kuangalia tamthilia kutokana na kuchelewa kurudi kutoka kwenye majukumu. Ila kutokana na hiki kipindi cha sikukuu toka pasaka...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wimbo wa mtoto wa geti ulikuwa kwa ajili ya kuwapa faraja " watoto wa kiume" (elewa maana ya " mtoto" wa kiume) pamoja na wanaume makabwela wasio kuwa na akili za kiume. Wimbo huo ulikuwa una...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapenzi wa muziki wa Dansi wengi ukiwatajia jina la Neema kumbukumbu zao hurejea kwenye sauti ya Cosmas Chidumule akiwa na DDC bendi iliyomilikiiwa na Shirika la Maendele Dar es Dalaam (Dar es...
2 Reactions
1 Replies
663 Views
Nisiwe msemaji sana. Kama wewe mdau wa Horror, hii gem nimeiotea leo inaitwa Trauma ya 2017. Mademu wanne walienda vacation weekend porini kwenye nyumba flani. Kula sana bata. Bwana si...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
since nimesaini sony music sasa hivi mitaani nimekua ankwepekabo thing driving big cars big nyashi big chains na ndoto zmekua ankwepokabo dreams riski allhamdulilaih kila chuma kikitoka ni...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Barack Obama unveils his favorite songs of 2023 Are y'all rockin with any of these songs? RAP
1 Reactions
10 Replies
778 Views
Baraza la Sanaa Taifa (Basata), limetangaza kuwa Tuzo za Muziki Tanzania 'Tanzania Music Awards' (TMA), 2023/2024, zinatarajiwa kufanyika Juni 15 2024. Kauli mbiu ikiwa ni "Kubadilisha tasnia ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kuna sehemu unahitaji kuielewa ambayo huenda hukuielewa kwenye movies hizi sema ueleweshwe.
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Safari ya Bulicheka na mkewe sehemu ya kwanza.
1 Reactions
0 Replies
588 Views
Binafsi napenda mziki mzuri, hasa kulingana na nyakati. Hali ya hewa leo na huu muda wa usiku hizi ngoma zinachoma moyoni sana. 1> Bane by Oliver NGoma 2>Samba Mpangala -Marina 3> Monique Seka...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Ushawahi kuangalia series au movie halafu ukajiuliza kwann sio popular miongoni mwa zile popular tv shows? In my opinion hizi ni miongon mwa most under rated tv shows & movie , let me know your...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa? Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali.. Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana...
1 Reactions
2 Replies
629 Views
Back
Top Bottom