Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hivi kwenye wimbo "chambua kama karanga" Saida Karoli anazungumzia mapenzi mubashara kati ya Halid na Philemon, na kuwataka wenye wivu wakitundike kitanzini. Hii kitu imekaaje!?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
kuna uhusiano gani kati ya hizo channel zinazocheza nyimbo zilizopo katika billboard chart ( music on chart) kupiga nyimbo kwa upendeleo mkubwa nyimbo za nigeria zaidi..?? kwa mfano kama una...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Wale wenzangu ambao hatunywi Pombe naomba mnisaidie kunitajia vinywaji ambavyo huwa mnakunywa mkiwa mmetoka (out) natamani Sana kutoka kwenda sehemu za starehe maarufu ila...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Kwa kweli kazi ya kuchekesha ngumu.. Kwenye stage ni Dogo Pepe kidogo anajitahidi kidogo watu wanacheka.
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Naangalia british comedy series ya miaka ya 90 inahusu jamaa anaefundisha wanafunzi mataifa tofauti kiingereza, episode mojawapo kuna mwanafunzi wa scottish anajitambulisha kwa style ya kuongea...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
*Ujumbe kutoka kwa mdau, kaniomba niwafikishie* Nilisafiri kwenda nchi flani hivi majuzi na nikatumia Ethiopian Airline. Then nikiwa kwy ndege nilianza kubrowse zile Screen za kwenye viti kuona...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msikilize beat ya Wimbo wa Vee Money (Vanessa Mdee - Juu ) Na hii ya wimbo wa Creole - BONOBO (Unaofanya vizuri sana kwy Trace Urban) Maoni yangu: Vanessa kafanya vizuri sana hadi...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau niende moja kwa moja kwenye swali langu.. Kama umesikiliza Kipindi cha XXL wakati Msanii Diamond akitambulisha wimbo wake mpya wa Fire, aliulizwa swali kuhusu tofauti iliyojitokeza kati ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wakuu . Hivi umewahi kusikia nyimbo nzuri sanaa lakini kwa bahati mbaya nyimbo hiyo haibambi au haisikiki sana. . Binafsi Nimekutana na nyimbo hizi ambazo ni kali sana ila zilibuma 1...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyimbo zote na filamu zote zinaimba namna mapenzi yalivyo matamu na mazuri. Radio, TV na magazeti yote yanaandika, kutangaza na kuonyesha nyimbo na filamu hizi zinazosifia utamu na uhondo uliomo...
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Nimefatilia michuano ya Fifa ya kombe la mabara lakin mara kadhaa hii technolojia mpya ya vidoe sio rafik sana kwa team yetu ya Cameroon hasa ktk maamzi tata.
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Msanii Mpya Kwenye Label ya Wasafi huu ni Wimbo wake wa kwanza na hii ni Video yake DOWNLOAD HAPA NEW SONG | LAVALAVA - TUACHANE ( OFFICIAL VIDEO ) | DOWNLOAD Mp4 VIDEO | MTIKISO ENTERTAINMENT
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Natafuta nyimbo za wachuja nafaka ili ni kundi lilikuwa na vichwa vi tatu juma nature,dollo na kr mulla. Hasa kunangoma mle kama dingi umechemsha na yaleo kali..natamani sana nizipate.
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Kwa wanaokumbuka kund la bongo fleva la HBC wana chemsha bongo kulikua na Big Willy,Niger J na Fanani aliyeimba 'fanani wa uhakika ktk fan anacfika' huya jamaa alikua ananikosha sana,naomba...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
kama kuna ambaye anakikumbuka kile kipndi kiitwacho club 10. kilichokua kinaendesha na perfect crispin kupitia clouds fm saa 4 mpka 6 mchna kila cku j mosi.sasa naomba jina la ile nyimbo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za muda huu? Nimejiuliza kuhusu series zinazotoka Korea hasa kusini,zimezagaa sana hapa nchini kwetu hadi watoto wadogo wanazijua. Lakini kwenye pita pia zangu sijakutana na Series za North...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani kama kuna mtu mwenye video ya wimbo mpya wa saida (ORUGAMBO) naomba haiweke tafadhari
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Jina na maudhui nimesahau!!!!!!!!!!!! Ni ya miaka michache tuuu iliyopita.Ilikuwa inaonyeshwa ITV.Nakumbuka starring alkuwa anauwezo wa kujibadilisha kuwa bonge la tiger.Pia alikuwa ana...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Mwenye movies series please naombe anisaidie series aina yoyote ile, au ata movie ya kawaida tukutane tubadilishane. Niko _Mbeya
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Back
Top Bottom