Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kuna series moja hivi inaitwa The 100, aisee kama hujaiona fanya kufatilia.. Cuz ni bonge moja la series hivi kali na kuna adventure za hatari... Ninauhakika ukiona lazima utaikubali 2
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Na sasa naondokaaa, nakwenda zangu, katika kijiji mwenzenu, cha ujamaaa. Nimechoka sasa jamani, na mambo ya mjini. Nakwenda, ndugu zangu wamenieleza niende katika kijiji cha ujamaaa...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Samahani kwa nitakaowakosea! Napendekeza Diamond apewe tuzo ya heshima ya kukieneza kiswahili kama sehemu ya utamaduni wetu, pili atambuliwe kama shujaa wa nchi katika kusaidia watu, amejitoa...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie nyimbo ya mwana Hip Hop Zola D amemshirikisha D-Knob nyimbo inaitwa "Jana sio leo" mana nimeitafuta video yake youtube na audio yake bila mafanikio.Hii nyimbo ni ya zamani kidogo...
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Kwa wale wote wanapenda kuangalia Series na movie Gusa hii link itakufaaa pengine DOWNLOAD SERIES,MOVIES, SEASONS, DOCUMENTARIES NA ANIMATIONS
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Lionel Messi has signed a new contract at Barcelona, keeping him at the club until 2021. His release clause is €300m.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Huyu ommy jamani sio mtu mzuri baada ya braza kaka kuachia Eneka ghafla cheche imelizima jiji lote la Dar es salaam uyu braza anaimba aisee Ommy sio was sport sport
4 Reactions
19 Replies
2K Views
! ! Nadhani wimbo unajieleza, na as long as unatwangwa kwenye radio stations na sijasikia lolote basi nalazimika kuamini una baraka zote za BASATA. Nampa, nampa, nampa nampa Papa.
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU muumbaji wa mbingu na nchi kwa kutufanikisha tena kuiona siku ya leo. Pili napenda kuwapa pole mashabiki "UCHWARA"wanaopenda kuwapa sifa za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MWIMBAJI mkongwe Shaaban Dede amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa siku kadhaa. Dede, mwanamuziki wa Msondo ambaye pia aling’ara na...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Alexandre Lacazette keshamaliza Vipomo Pale Arsenal uhamiso wa Ada £44 million.
2 Reactions
2 Replies
530 Views
Nataka kuandika Riwaya Je Mode kuna Masharti ya kufuata?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha hapo juu ikionesha logo ya radio Pekee AFRIKA mashariki inayorusha MATANGAZO yake moja kwa moja YAANI Live huku ikisheheni vipi mbali mbali VYA utamaduni habari, sanaa na michezo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu! Tanzania tulikua na Kili Music Award ambazo zimekua na changamoto nyingi ila bado ni tunzo ambazo ziliwatia moyo sana wanamuziki wa hapa nyumbani. Nimepata wazo sisi kama jumuiko...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Itakua moto hii...kwa hiyo teaser tu nimeielewa. Long live River Camp.
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Hii nyimbo iko poa sana
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Msanii anaitwa Ndela wimbo unaitwa Sijutii Sasa kila nikiwasha redio nauskia unapigwa, ila kila nikiiutafta google haupo. Ni wimbo mzuri sanaa huu, dogo katoka kwa hakika. Mwenye nao autume...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu mazee poleni na pilika za wiki nzima nachukua fursa hii kuwapongeza east africa tv/radio kwakutuletea burudani Ni leo jumamosi show ni wakongwe kibao stejini nadhani ni siku nzuri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Ndugu zangu. Naomba kusaidiwa jina la wimbo WA hawa jamaa wa kitambo kidogo kwenye game Mmoja akifahamika kama Man dojo na mwingine Domo Kaya. Baadhi ya mistari ni hii kwenye kiitikio...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom