Habari wana JF na JF kwa ujumla.
Kuna wimbo mmoja siukumbuki jina kabisa aliimba Bizman kwenye ile Album yake ya Nipe Muda.
Maudhui ya wimbo huu yanahusu maisha ya mwanaume na mwanamke kwenye ndoa...
Downlaod na usikie nyimbo yangu inaitwa BINADAMU WA LEO,
Sina management kama umeipenda kazi yangu na una Nia ya kunisogeza hatua moja mbele tuwasiliane Pm,
Nina kazi nyingi hii ni moja wapo tu...
Dogo Domo una stress trust me, na nina wasiwasi unapuliza sasa hivi mboga.
Ngoma tatu lakini hakuna jipya lenye kuleta muonekano mpya unafeli brother.
Mapenz yana kusumbua, tafadhali...
Wakuu, nipo hapa Mzizima tokea mwezi wa nne na hapo nyuma niliisha tupia humu kuisifia band hii ya muziki. Naomba kufahamishwa ukumbi na siku wapigapo muziki ili nifike na kupata faraja.
Kupitia mtandao wa twitter wa star wa Nigeria @Patorankingfire ameweka wazi siku ambayo ataachia ngoma yake ya #LoveYouDie alomshirikisha@Diamondplatnumz aliandika hivi.
"Wait for it" Je...
nmeangalia video mpya ya diamond ENEKA jamaa katisha kwa kweli apa kina davido ,wiz tecno watasubiri xanaaaa
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Habari wana JF!
Naomba kuuliza jamani kuhusu huu mchezo wa boxing.
Hivi huwa wanaangalia vigezo gani hasa ili mtu kupata ushindi?
Nimeona mapambano kadhaa lakini huwa yananipa changamoto kuhusu...
Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza...
wakuu kuna movie inaitwa the birth of the dragon imetoka mwaka jana mwishoni mishoni mwa mwaka mwenye nayo tafadhari maana nimeitafuta kila mahali napoweza nimeambulia patupu.
Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza...
Wasalamu JF members,kwa wale wapenzi na wafuatiliaji wa Mtv Shuga inaendelea na Tanzania tunawakilishwa vyema na Msanii wa bongo fleva Vanessa Mdee,hivyo Basi kwa anayejua link ya kuweza...
Habari zenu wakuu.
Kuna nyimbo za injili kutoka albam fulani hivi nilikuwa nazisikiliza sana kipindi bado mdogo. Kwaya iliyoinba siikumbuki ila baadhi ya mistari ninayokumbuka ilikuwa hii...
Wale wananaopenda action za bongo hapa ndio uwanja wetu. Taja action movie unayo ikubali kutoka bongo.
Mimi. 1. BAGA
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.