Wanajamvi habar
Naomba msaada namna ninavyoweza ipata filamu ya ROOTS 1977,ama maarufu kama "kunta kinte" maana juhudi zangu na maarifa yamegonga mwamba....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.
Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu...
THE ISLAMIC WIFE
(Mke Muislamu)
Sehemu Ya 1
Mtunzi... MoonBoy
Simu No, +255714419487 WhatsApp
Inapoanzia Rasmi
NDUGU WASOMAJI WANGU... SIMULIZI HIII... HAITOKUWA NA VIPENGELE VIREFU, KAMA...
Wana jf wenzangu natumai mwaendelea vyema na wkend.
Nikirudi upande wa Harrison Ford mimi mpenzi wa movie zake nyingi hasa pale anapokutana na mikiki ya hali ya juu na kupambana wakati mwili wake...
hivii utaratibu wa bann ukoje wakuu. ..??
tunapigana tuuu bilaa kupewa taarifa na kama kuna kosa kwanni tusiambiwe kwanzaa na hao ma mods.Tangu juziii nilikuwaa najalibu ku login JF naambiwa no...
Wakuu natafuta tamthilia ya kihispaniola iitwayo la esclava blanca ama the white slave kwa kiingereza. Kwa yeyote mwenye soft copy ama maujanja ya kudownload naomba anisaidie. Kwa sasa ni episode...
Kama kawaida, timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu imetolewa michuano ya CHAN na timu ya Taifa ya Rwanda.
Inasikitisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam wakuu,kuna remix ya wimbo akatambala imeimbwa na saida karoli nimeisikia Leo kwenye kituo kimoja cha redio.Nimejaribu kuitafuta mitandaoni lakini sijafanikiwa,kama kuna aneweza kufanikisha...
UPEPO WA USIKU-3
BONIFACE BIRAGE
Upepo ulitoa kama mlio wa ulalamishi flani hivi!Matawi yalizidi kulalama na katika ule ulalamishi kulionesha kwamba kuna dalili nje!Dalili ya mvua kunyesha!
Bario...
Kiukweli me nashindwa kuelewa sijui wana matatizo gani...eti nasikia wanatamani hâta anko Magu awe wao sijui wamelimisi rhumba kali?!!..wanaona sie tunafaiidi dozi ya kupauka nguo mpaka...
mzee wa mask off soon anadondoka dar kuja kuandika historia na lazima niwepo pale na nahitaji mbebez wakwenda nae najua mpo humu na midomo imewakauka usijali utakunywa savana mpaka ujikojolee hela...
Habari vipi wakuu?? Nilikuwa nachek itv mida fulani naona wakaweka ile tamthilia ya Wakenya ya cobra squad, niliwahi kuichek kipindi fulani but kwa sasa naanza kuielewa coz walipata support kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.