Ni milongo 3 hivi takribani Tz tuanze Kuact Movie za Kidrama ambazo zikiwahusisha Ma actors kama kina Insp.Seba,kina Jimmy na wenzao Wengi.
ila hapo awali nildhan ili movie yako iwe nzur lazma na...
Habari wana jf,polen na majkum ya kila siku.
leo nashuka kwenu kuwaomba wale wenye audio za album ya bongo flev ya kund la Hard Blasterz Crew(HBC),lilokua lnaundwa na Niger Jay(Prof...
Ningependa kushea maoni na wapenda soka wenzangu kuhusu mada tajwa hapo juu. Binafsi ni mpenzi na shabiki damu wa Manchester United. Naomani kabisa Romelu Lukaku, Marcus Rashford, Ander Herera...
Wananzengo habarini mlioko vijiweni tulioko makazini na walioko wanakojuwa wao naamin sote tuwazima
Queen of the Best Melody’s huyu mtu kama namuelewa flan hatar anakaz tam tam hatar
moja ya...
Nadhani kwa wanaojua matukio ya kisiasa ya taifa letu wanajua ninachomaanisha yani utungaji huu wa sinema utahusisha moja kwa moja kati ya mapambano ya kuzuia rasilimali za nchi na mwingine...
Kusema kweli, hakuna nyimbo inayo ji replay kwenye computer yangu kama huu wimbo.
Ana ngomq nyingine inaitwa luck me. Hakika natangaza kwa moyo wa dhati kuwa shabiki wa GNako
Sent from my VFD...
Kwavile Radio Free Africa na StarTV hazipo hewani (zinatangaza matangazo ya wengine) nawashauri BBC DIRA YA DUNIA TV hamishieni taarifa hio ya habari ITV au kwingine mtakakoona kunafaa
Ni vema...
Kwenye goma jipya la unatafuta kiki la Niki Unju mbishi kajiita niki bashite anazungusha zero nimecheka sana.
Ila Niki najua upo hapa jf,ndugu yangu una mistari na flow kali sana,yaani hii ngoma...
SIKU ITAKAPOFIKA
Hiyo siku ikifika, nafsi kuuacha mwili,
Kalamu zitaandika,mara lile mara hili,
Wengi watahuzunika,na kushindwa kuhimili,
Siku itakapofika, mwili utapumzika.
Sijui ni kwa...
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Msaada wa jinsi ya kusave picha INSTAGRAM ije kwenye gallaries...
Nawasilisha
Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
Mama mmoja aliamua kumtembelea mtoto wake wa kiume anayesoma chuo kikuu katika HOSTEL aliyopanga ili wale chakula cha jioni pamoja..[emoji492][emoji502]
Alipofika hapo chumbani kwa mtoto wake...
Unakuta mwigizaji anaongea lugha mbili kwa wakati mmoja(mkabala) sasa sijui wanakuwa na lengo gani coz unakuta hyo movie ina subtittle..
Mfano:
Mtu anasema
'Nooo' ... Then hapana
'Ilove you so...
Mzuka wanaJF na habari za mchana!
Huu wimbo unanikumbusha mbali sana yani mbali sana. Demu wangu mrembo aliupenda sana sasa hivi yuko mbinguni. Sijausikiza mda mrefu sana.
Nimejikuta naufungua...
Dah Tunatarajia By Jumapili hivi Ma Pirates Watakua Tayari Wamesha iweka Spider man homecoming free tayari kwaajili ya kuidownload
Movie hii itakua ipo Fresh Sana
Akina Tom Holland as spider man...
Katika hii movie ukiitazama kwa umakini inakupa majibu sahihi Juu ya utaifa wako na hali ya uzalendo ulio nao katika moyo wako
Ila usichokifaham katika movie hii ni kwamba ilichezwa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.