Kuna mtu yoyote anaweza kujua Mondi logic yake ni ipi kusema zombi siku hizi hizi beat hazipigwagi.. Ni beat gani Hizo maana kama ni amapiano ndo Kwa sasa kipenzi cha ma teenage na Wao wanafanya...
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kusikiliza vipindi mbalimbali vya radio bongo.
Watakubaliana nami kuwa beats za hizi ngoma za hip hop mbili
- Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
na
- Still ya dr dre...
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi
Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani
Niambie wako...
Binadamu by AY featuring Maurice Kirya
This is A.Y from Tanzania, Maurice Kirya and Hamdee from Uganda.
Itโs a dedication to all African who living in poverty.
Verse 1
Usiombee mambo...
Mchizi makuu anayo,
Ana mziki mtamu sana mshkaji. Mm nasemaga Chris brown, Jason derulo na fally ipupa wataingia peonies asee.. Leo naongeza Battan naye atakuwepo.
Hiyo hapo ๐คญ
SEHEMU YA KWANZA:
Nyarugusu- Kigoma, Tanzania
Hofu ilikua imetanda miongoni mwetu, kina mama walikumbatia watoto wao, zaidi ya vilio vya watoto hakuna sauti nyingine iliyosikika, hata ndege pia...
Sehemu ya 1
JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Meddie alikuwa amehamia...
SURA YA 1
KWA mara nne mfululizo katika wiki ile, Luteni Maige alijiwa na ndoto ile ile usingizini. Aliamka kwa mshtuko, jasho likimtoka huku akihema kwa kasi.
Safari hii, hata alipofumbua macho...
1.DO YOU REMEMBER-PHIL COLLINS
2.SOME BROKEN HEART-DON WILLIAMS
3.PLEASE FORGIVE ME-BRYAN ADAMS
4.FOREVER IN LOVE-KENNY ROGERS
5.ABBA-CHIQUITITA
6.SACRIFICE-ELTON JOHN
7.JUDY BOUCHER-CANT BE WITH...
Wakuu, amani ipitayo fahamu zote iwe nanyi. Ni muda kitambo umepita pasipo kupeleka mada jukwaani kwa sababu sikupata muda wa kutosha kuandaa makala ndefu yenye hoja fikirishi. Leo naleta kwenu...
By Joh Makini ft Ben Pol
I love what I am doing. A city in da houz
Yeahโฆ Aaah!
Some other people miss the old me
Some other people love the new me
I thank God all these people
They donโt know me...
WATU FEKI- Appy
Siku mbili sijalala sijakula
Ninastress
Nyumba imegeuka chumba cha dharura
Emergency
Sioni marafiki ama mashosti
Au mnasubiri nife ndio mniposti
Bora nitafute pesa
Ndugu wa kweli...
Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi
1BR
Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo.
Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa, na...
UPDATE
Simulizi hii ina misimu mitatu (three seasons) na zote zitakuwepo kwenye uzi huu huu.
1st season ina episodes 4 tu japo ndefu ndefu kiasi.
2nd season ipo post #90 na episodes zake ni...
Habari zenu wanajf?
Naomba leo tushee nyimbo zetu pendwa tunazozisikiliza kwenye playlists zetu when we feel giving up. (Kukata tamaa)
Binafsi, "Lengend" by Chronixx ndo nyimbo ambayo napenda...
Mfahamu Idris Sultan
Amezaliwa Januari 28, 1993 jijini Arusha. Anafahamika kama mwigizaji, Mchekeshaji na mtangazaji wa vipindi vya radio
Safari yake ya mafanikio ilianza baada ya kushinda...