Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Habari wadau naomba mwenye link ya wimbo fulani wa Bob Rudala/inafrica band unaoitwa Julie ama julieth anisaidie basi. Ni wimbo fulani ulivuma miaka ile ya mwanzoni mwa 2000... Asanteni sana
0 Reactions
57 Replies
29K Views
Huwa ni mpenzi wa Games especially Brain Game zinazohusisha Mathematics, Puzzle na Vitu vingine. Limbo Ni Best Game , Ni game linalohitaji utulivu wa Akili Kuvipita vikwazo vilivyowekwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Amani ikae nanyi! Naombeni jina la huu wimbo: Kuna wimbo ambao Radio 1 huwa wanautumia kama "background melody" kwenye kipindi chao cha Zilipendwa kile cha Jumapili mchana (nadhani bado kinaanza...
2 Reactions
0 Replies
873 Views
Chei chei shangazi,,,naomba kupata kijinyimbo hicho,,pls
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii movie sijaiona. Ila kiukweli mimi si mpenzi wa bongo movie na kwa idadi ya movie za bongo nilizoangalia ni nadra sana kufika hata kumi. Hapo nyingi nimelazimishwa kuangalia kwenye mabasi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari! Kama kichwa cha habari kinavyouliza, mziki huu wa singeli ulikuja kwa kasi ya ajabu na kuna watu walidiriki kusema sasa huu ndo mziki utakaodumu muda mrefu, kwamba ndio aina ya muziki mpya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Hadithi NINGEJUA 1 Mtunzi Christopher Adamu Kibona Mahali Iringa, Tanzania WhatsApp 0752773513/0683376813 Sehemu ya kwanza "We mtoto embu amka, kulala gani huko mpaka saizi ?". Ilikua ni...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwigizaji wa filamu za bongo movie Jacob Steven a.k.a JB amesema filamu yao mpya ya KUMEKUCHA TUNU iliyoigizwa na mastaa wengi akiwpo na JB mwenyew ni ya kipekee tofauti na hizi zingine za bongo...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Utamu ni ngoma ya Dully Imetoka 2012 lakini bwana mmoja huko india ameitolea remix yake 2015 mwenyewe amejieleza kwenye maelezo ya video yake huko youtube video yenyewe hii hapa chini Lakini...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Unaringa una nini kijuso vijimeno kaa jini Punguza kelele.mama kelele Ni baadhi ya maneno nimeyasikia kwenye huu wimbo Naombeni jina wakuu la huu wimbo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ukilinganisha na machanel mangine ambazo ni kongwe hapa tanzania hakuna kama tv-e kwa vitu kama -graphics zuri..kiasi kwamba hata video mbaya utaiona kali. - sound ipo vizuri sana ..yaan kama...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Najitokeza kuomba msaada wakupatiwa nyimbo zifuatazo,maana kwamsaada wa google imeshindikana. Mwenye nazo au ukiwa na mmoja kati ya huo naomba unipatie tafadhali 1. CCM ni ile ile 2...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja ya watu ambao tangu zamani nilikua sipend kabisa kuangalia muvi za kibongo. Kuna ndugu yangu mmoja alinishawishi kwa kuniletea cd kama kumi hivi ila baada ya kuziangalia nimeapa...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mabishano kati ya sinza na Tabata ni wapi panabamba kwa starehe Kwa hapo awali wengi wanasema ilikuwa sinza lakini kwa sasa tabata imechukuwa nafasi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Siku chache tangu Mwanadada Hoyce Temu anyakue taji la Miss Tanzania, mwaka 1999, Emmanuel Nkulila alitoa wimbo wa Tanzania Nzima Hakuna Mrembo kama Wewe. Stori zilizo zagaa...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Ohh, how about a round of applause Yeah, standing ovation Oooh ohh yeah, yeah yeah yeah yeah You look so dumb right now Standing outside my house Trying to apologize You're so ugly when you cry...
0 Reactions
6 Replies
984 Views
Kipindi Bongo movie ipo katika ubora wake, Dar 2 Lagos ndio movie iliyonivutia haswa na kufanya nishawishike kuinunua na inabaki movie pekee ya kibongo kuinunua. Je wewe ni movie gani kutoka...
7 Reactions
65 Replies
18K Views
SABABU ZILIZONIFANYA NISIANGALIE BONGO MOVIE TENA!!. 1.Wachawi wanakamatwa na Mgambo. 2.Majeruhi na maiti zinabebwa kwa mikono mitupu 3.Jini anavuka barabara anaangalia kulia na kushoto...
13 Reactions
22 Replies
3K Views
[Verse 1] Mujini Kipenzi, Silani Shilingi baby Kupendana zamani ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi, ila uongo mwingi baby Wakishaviona vya ndani basi wanakumwaga Ndo maana Ukichelewa dukani, mie...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom