THIS SONG TRANSLATED
lingala: Aee nakomitunaka
english: Aee I ask myself
li: Nzambe nakomitunaka
en: God I ask myself
li: Poso mwindo ewutande wapi ?
en: Where did black skin come from?
li: koko...
kwa wale wapenzi wa nyimbo za billboard chart,UK.top 40, na Electronic dance music (EDM SONGS) mpya mpya na kali za hatari angalia hapa kisha tafuta upakue ..hutajuta...
N.B..sio kila wimbo mpya...
Watu wanaoridhishwa na kazi zinazofanywa na awamu ya tano ni wengi kuliko wachache wanaokerwa. Watu wenye maadili na wasiopenda matusi kwenye nyimbo ni wengi kuliko wahuni. Wanaofurahi na wenye...
Wakuu kama heading inavyojieleza... Niwapi pazuri kufurahia yani ukiwa na watoto watafurahia michezo nahata wakubwa pia ukiachilia mbali Funny city na Jangwani see breez...
Msaada tafadhari wakuu
Wadau nimekumbuka sana huo wimbo pamoja na albamu yake yote.
Ni wimbo wa kihehe nakumbuka enzi zile miaka ya 1994,1995 ulikua huwezi kwenda kwenye harusi yoyote bila wimbo huo kupigwa...
NI nyimbo gani ukizisikia unahisi kutokwa machozi??....nimejaribu kutengeneza list ya nyimbo 10 ambazo zinasikitisha zaidi....kama hujakubaliana na list jaribu kuweka ambazo unaona zinasikitisha...
Kazi yako ya Nisaide kushare imesimama sana bro, hongera sana. Umeonesha kwamba wewe ni mkongwe katika hip hop, huyumbi na hugeuki. Kaa hata mwaka mzima lakini ukija kurealese unafanya ile kitu...
Mambo anayotufanyia mtangazaji Wa sibuka FM, in mambo ya ajabu anaacha kutangaza Mpira anatangaza matukio.
Sio lazima kama hamna uzoefu Wa kutangaza Moira sio lazima mpekeke mtangazaji ni bora...
Mimi ninashangazwa sana na sanaa za kibongo,kwani hasa hawa wasanii wanafanyaje?
EDITOR:
Computer inayoedit pentium R ya 2002.
Editor wenyewe ana muongozo wa kutia vinanda badala ya track.
Vipande...
Kwa mara ya Kwanza nimekuwa shabiki wa huyu kijana hii nyimbo aliotoa ukiwezekana ufike mbali
very inspirational song....most of da time we miss the moment not a person....aslay ameweza kuongelea...
Ninachoweza kusema ni kuwa:-mafanikio ya kishetani daima hayana heshima kwa mwanadamu !Kwa mwanamme wa kweli mafanikio ya kweli na ya haki ni yale yanayotokana na mipango na jitihada uku...
Nikisikiliza nyimbo za kupondeana zote naona kama madaraka ya kulevya ni nyimbo ambayo iliandaliwa mda mrefu sana na kwa umakini kuliko zingine.. Nyimbo ya "Wapo" ya ney wa mitego ni nyimbo ambayo...
BRAYAN :you have any son,
RADE : two ,
BRAYAN :you have any son,
BRAYAN:If I kill u,they will come and seek revange.
RADE: they will for u sure,
BRAYAN:And I will kill them too, bt you can change...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.