Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Jamani najaribu kununua nyimbo kwenye hiyo website lakini nashindwa, kwaaliyefanikisha anijuze.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Team Destination wameachia video ya wimbo wao mpya unaitwa Naongea na simu.Na wasanii wapya Ila kwa uwezo Wa kuimba na kuandika nawatabiria kufika mbali katika tasnia hii ya burudani. Kutazama na...
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Hii nyimbo yao inaitwa rudi ni nyimbo kali kabisa kwa mwaka huu Hongera sana kijana
1 Reactions
7 Replies
2K Views
*JINA LA RIWAYA: DUNIA TAMBARA BOVU* *MWANDISHI: (HYUNGNIM)* Ulikuwa usiku adhimu kupata kutokea kwa mabanati na majamali ya nguvu.Jiji la Bujumbura lilitoa mng'aro uliopambizwa na taa kubwa...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
1. EFM- dar 2. JEMBE FM -Mwanza 3. Kiss FM - Mwanza 4. Ea radio - dar 5.lake FM- mwanza Toa zakoo na wewe.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva jinsia ya kike baasi huwezi kumuacha Vanessa mdee ( v-money), lady jaydee ( komando) na wengine wengi. Leo naomba nimuongelee...
0 Reactions
4 Replies
952 Views
PARODY GROUPE L'FISHTA #SÉÉF HADA الصيف هذا #shetta ft kcee_shikorobo
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Jeshi la polisi limekuwa likikamata wasanii wa Bongo flava kila kukicha, kama wewe msanii bado upo uraiyani, Omba Visa yako iwe Ulaya au Amerika au Australia, ukifika huko Omba ukaazi kama...
2 Reactions
13 Replies
837 Views
Habarii Msanii anaejulikana kama bonge la nyau ambae ametoa nyimbo mpya inayoitwa #Tusiachane nyimbo hii ameiba toka kwa msanii na mwandaaji wa mziki @justincukaz kutoka Arusha Nyimbo hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naanza kwa kuwashukuru wana JF wote kwa ushirikiano mnaonipa na kwa kunifunza vitu vingi ambavyo sikuvijua na kwa kweli sijutii kujiunga na wanafamilia wa JF. Kwa leo ninaomba ushauri kuhusiana...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nimejitahidi kutafuta nyimbo zote za Albamu ya funga kazi kwenye mitandao zilizoimbwa na Hard Blasters Crew mwaka 2000,nmepata chemsha bongo na mamsapu tu..Naomba msaada wa aliye na nyimbo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
…….……" ''''Nahreall"'''…………….. ooh lelee" ooh lelee" "The industry" ooh lelee" ooh lelee" (Chorus) "Nusu saa yamshale...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Habarii Msanii anaejulikana kama bonge la nyau ambae ametoa nyimbo mpya inayoitwa #Tusiachane nyimbo hii ameiba toka kwa msanii na mwandaaji wa mziki @justincukaz kutoka arusha Nyimbo hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tovuti namba moja ya kuuzia muziki nchini, Mkito.com, imepata mpinzani mpya, Wasafi.com. Diamond Platnumz ameizindua rasmi website yake ya kuuzia muziki, si tu wa wasanii wa WCB, bali wasanii...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiwanja kipya cha kijanja kimefunguliwa mji mpya unao kuwa kwa kasi Mafinga,Iringa,Fika ujipatie huduma zote muhimu kwa binadamu aliye timilika,na usahau kama upo ugenini.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ndi kazi yake dogo harmonize amepata kuifanya mwaka huu 2017 Utaipata pale www.wasafi.com pekeake Bonyeza link hii kuutazama wimbo huu
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jameni kama Kuna nyimbo ambazo una zienzi za kitamaduni hebu ziweke hapa tuzichangamkie
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwakweli Tv E dada ya efm inasumbua mtaani kwa sasa baada ya rasmi kuanza kuonekana dstv channel 295 , yaani ni burudani kwenda mbele asubuhi hadi jioni , picha angavu kabisaaa Heheheheiyaaa...
8 Reactions
54 Replies
6K Views
waungwana ni progs gani naweza nikainstall kwa laptop ikaniwezesha kuangalia movie online na kupakua....naaomba anaejua anijuze....
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Back
Top Bottom